Pumbavu kweliKwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?
Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.
Ukishaona jina lina XXX basi tu unakaa kimyaKwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?
Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.
nilsema hicho chama ni cha kaskazini ni cha wachaga so hatuwezi kuwa na vyama vyenye element za kidini.namsihi mkuu wa mkoa bw kafulila usikubali kujalibiwa na hao watu ili wakuharibie kitumbua chako.ni style ile ile waliomfanyia Lengai.mwangalie sana huyo mwenyekiti wa cdm hao watu wana ajenda zilizojificha.wanataka kuharibu amani ya nchi hivyo kabla hawajafanya hivyo hakikisha unadeal nao kisawasa bila kupepesa macho.Kwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?
Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.
kamfukue mwendazake ili muwapatie hekaheka hawa watu, wapotee kwanza kwa wiki tatu nne hivi, wakirudi watie adabu huku wakiwa na viongo nusu.Tunawasubiri ila mkae mkijua tabu ipo palepale.
kwa nini Mtwara au Kigoma? kwa nini isiwe Mwanza na Simiyu? mawazo ya kibaguzi ndio ubaguzi wenyewe, popote watakapo anzia ni Tanzani fullstop.Kwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?
Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.
Wewe wachaga walikutumia,wakakujaza tumbo na kukutelekeza bila hata thumni huku wakiendelea kuponda raha na warembo wengine!?Kwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?
Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.
Kwamba ni wale wanatumiwa na "mandingo" kule kwenye senema za wakubwa!?Ukishaona jina lina XXX basi tu unakaa kimya
Kasikazini sio Tanzania?Kwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?
Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.
Hoja mfu kama hizi hazitegemewi kuletwa mbele ya hadhira ya Jamiiforum, Hivi kama Chadema Kiongozi wa ngazi ya Juu anatoka kasikazini haruhusiwi kufanya mikutano eneo lake kwa sababu ni wa kasikazini?Kwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?