T2015CCM JF-Expert Member Joined Sep 13, 2012 Posts 7,930 Reaction score 991 Apr 24, 2013 #21 vijana someni kwanza, siasa mtaikuta
M Mulungwani JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 456 Reaction score 84 Apr 24, 2013 #22 Rutunga M said: soma kwanza! achana na siasa,ndiyo maana vyuo vinazalisha wasaka ajira tu badala ya wasomi! Click to expand... wewe umechanganyikiwa? Kaa kimya mabadiliko ni lazima na harakati lazima zianze sasa
Rutunga M said: soma kwanza! achana na siasa,ndiyo maana vyuo vinazalisha wasaka ajira tu badala ya wasomi! Click to expand... wewe umechanganyikiwa? Kaa kimya mabadiliko ni lazima na harakati lazima zianze sasa