Kutoka chuo cha Mt Augustino Mwanza, ni wanafunzi wa sheria alievaa t-shirt yenye picha ya Lissu anaitwa Kilemile Rajabu alikaa ndani siku 29 kwa makosa ya uhaini na uchochezi na aliesimama pembeni anaitwa Maulidi khamis, huyu alihakikisha katika hizo siku 29 Rafiki yake anapata mahitaji yote ya msingi akiwa polisi hadi pale alipoachiwa huru.
Jana wamefanikiwa kumaliza mitihani yao ya mwisho ya sheria hapo chuoni Inshaallah hawa ni mawakili wa baadae
Makamu Mwenyekiti wa Chama Mhe. John Heche akisindikizwa na wananchi wa Katoro baada ya mkutano wa uzinduzi wa operesheni Je nini maoni yako? 👉🚨FOLLOW page yetu ya SMART TV HABARI kwa taarifa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Mhe. Samwel Welwel, ameongoza kikao cha Kamati Tendaji ya Kanda kilichofanyika jana, Agosti 8, 2026, mkoani Arusha.
Katika kikao hicho, Kamati Tendaji imejadili, pamoja na masuala mengine, hali ya kisiasa katika Kanda ya Kaskazini, pamoja na masuala mbalimbali yanayohusu uendeshaji na mustakabali wa Chama katika Kanda hii.
Kikao hicho ni sehemu ya utaratibu uliowekwa na Baraza Kuu la Chama, unaolenga kuhakikisha Kamati Tendaji inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa maelekezo, maamuzi na miongozo ya Chama, pamoja na kujadili na kutathmini masuala mbalimbali yanayohusu uhai na mwenendo wa Chama katika Kanda ya Kaskazini.
Leo Mwenyekiti wa Jimbo la Geita Vijijini Bi. Neema Chozaile amesomewa tuhuma ya UGAIDI baada ya Serikali kufuta shitaka ambalo walimpa wiki kadhaa zilizopita la kula jama za kuua Askari.
Sasa amepelekwa gerezani kwasababu kosa la UGADI halina dhamana.