Sasa tuambie ndugu Red Giant , kama sio taasisi mngetumia maguvu yote, rasilimali zote kuihujumu hiyo mnayoiitaa sii taasisi, dhaifu, na Sasa mmehamishia nguvu Kwa miamba iliyopo ndani ya taasisi inayowanyima usingizi.Mwenyekiti wa CDM kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk.
Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi ikiendelea hadi 2025, au 2023 mwwka aliosema atajiuzulu au akihukumiwa sioni CDM ikiwepo. Inaonekana mambo yote CDM yalimtegemea Mwenyekiti Mbowe.
Hata hii kesi(kama ina ukweli wowote) kwa chama ambacho ni taasisi haikupaswa kumuangukia mwenyekiti. Inabidi hiki chama kibadilike, kisitegemee mtu mmoja kukiendesha.
Tungetumia nguvu mimi na nani?Sasa tuambie ndugu Red Giant , kama sio taasisi mngetumia maguvu yote, rasilimali zote kuihujumu hiyo mnayoiitaa sii taasisi, dhaifu, na Sasa mmehamishia nguvu Kwa miamba iliyopo ndani ya taasisi inayowanyima usingizi.
huo ni upumbavu unaousema sasa mvua analeta rais wa nchi? kumwachia mungu ndiye mwenye mamlaka ya kuinyeshea mvua nchi au kuacha yaani hata Mungu humuheshimu? yaani wewe ni takataka kabisa kajifunze adabuCCM sasa hivi matatizo ya wananchi wanamuachia Mungu!WTF!!!
Mungu alishamaliza kazi yake baada ya kutoa vitendea kazi vyote kama vile kuwapa wanadamu akili,mazingira na kadhalika.
Rais wa nchi kutoka CCM pia amekiri kuwa urais ni janga na limemshinda.Ni wakati sasa CCM kukabidhi nchi kwa wenye nchi.
View attachment 2023241
Aisee!!Sasa hivi JF mnafanya ni ulingo wenu wa kufanya maonyesho ya ujinga wenu?Unaelewa hata ni kwa nini Marais walikutana katika mkutano wa mazingira wa COP 26 ikiwa ni pamoja na Rais Samia?huo ni upumbavu unaousema sasa mvua analeta rais wa nchi?
Mungu anaheshimiwa kwa kutumia akili alizokupa vizuri katika kukabidhi changamoto za maisha.Huwezi kukata miti kisha ukasubiri Mungu akuletee mvua.Au huwezi kuacha kulima ukategemea kuwa ukifunga na kusali sana basi Mungu atakuletea chakula.kumwachia mungu ndiye mwenye mamlaka ya kuinyeshea mvua nchi au kuacha yaani hata Mungu humuheshimu?
Kwa ulichoandika takataka ni wewe.Period,end of the story.Doneyaani wewe ni takataka kabisa kajifunze adabu
Unaweza kwenda Gulioni wakati una msiba nyumbani kwako??? Acheni unafiki. Unafiki wenu huo ndiyo uliomponza Jiwe.Mwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk.
Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi ikiendelea hadi 2025, au 2023 mwwka aliosema atajiuzulu au akihukumiwa sioni CHADEMA ikiwepo. Inaonekana mambo yote CHADEMA yalimtegemea Mwenyekiti Mbowe.
Hata hii kesi(kama ina ukweli wowote) kwa chama ambacho ni taasisi haikupaswa kumuangukia mwenyekiti. Inabidi hiki chama kibadilike, kisitegemee mtu mmoja kukiendesha.
Kabisaaaa,kimekufa ile wanaita natural death.Chadema kwishneyMwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk.
Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi ikiendelea hadi 2025, au 2023 mwwka aliosema atajiuzulu au akihukumiwa sioni CHADEMA ikiwepo. Inaonekana mambo yote CHADEMA yalimtegemea Mwenyekiti Mbowe.
Hata hii kesi(kama ina ukweli wowote) kwa chama ambacho ni taasisi haikupaswa kumuangukia mwenyekiti. Inabidi hiki chama kibadilike, kisitegemee mtu mmoja kukiendesha.
Hanaga akili hawaCCM sasa hivi matatizo ya wananchi wanamuachia Mungu!WTF!!!
Mungu alishamaliza kazi yake baada ya kutoa vitendea kazi vyote kama vile kuwapa wanadamu akili,mazingira na kadhalika.
Rais wa nchi kutoka CCM pia amekiri kuwa urais ni janga na limemshinda.Ni wakati sasa CCM kukabidhi nchi kwa wenye nchi.
View attachment 2023241
mme-Sema mmezoea kuongea siasa kishabiki kama Simba na Yanga. Kwamba akiiponda Simba ni Yanga.
Na wabambikiaji maharamia wa kijaniTungetumia nguvu mimi na nani?
Fahari ya mtaa wa kijani a.k.a wa mazuzu kuwa mvua imeshesha kwa sababu yake🤔.Gazeti la Lumumba street.
Mbona Kuna aliyekuwa alipongezwa na mazuzu pindi iliponyesha mvua 🤔.huo ni upumbavu unaousema sasa mvua analeta rais wa nchi? kumwachia mungu ndiye mwenye mamlaka ya kuinyeshea mvua nchi au kuacha yaani hata Mungu humuheshimu? yaani wewe ni takataka kabisa kajifunze adabu
Mwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk.