Nimeona niianzishie uzi haya majibu yangu baada ya kuona upotoshaji usiokuwa na mithili.
HII WANASHERIA WANAITA "ALIBAI"-For advice it is premature.
Poleni bwana mchange,ila ukweli unauma.
R.I.P MM(Zitto Kabwe) Dhambi ya usaliti ikutafune hadi ikufilisi wewe na familia yako(baba yako,mama yako,mchumba wako,mtoto wako,kaka,dada na wadogo zako pamoja na ukoo wako na wale wote wanao kusuport) katika kazi yako ya kumsaliti mtanzania aliye kuamini na kukuthamini ili uje umkombe kutoka mikoni mwa mafisadi na walaghai wa nchi.
Kwani umeshindwa kuwafikiria japo hata kidogo,kwa wale waliopoteza maisha,kazi,na hata na wale ambao wanaishi maisha magumu kaajili ya kuishabikia chadema kupitia wewe? Eti kwanini umeamua kumuangusha mtanzania kwa vipande vya pesa kuliko kuwathamini watanzania waliokuamini?
Nimeona niianzishie uzi haya majibu yangu baada ya kuona upotoshaji usiokuwa na mithili.
WANA JF na UONGOZI wa JF,
Kwanza kabisa poleni na mchakato mzima wa kujadiliana hapa Jf mambo kadha wa kadha yanayoendelea kwenye nchi yetu na hata nje ya nchi.
Naomba sana Uongozi wa jamiiforum na Great Thinkers wote muachane,muondoe upuuzi kama huu wa watu kutumia jina langu kujikinga na kile walichokichokonoa wao wenyewe.
Mimi sipo huko Shinyanga wala sijawahi kuwa MWANZA kwa kipindi cha siku za hivi karibuni, na kama yupo mwenye uthibitisho wa mimi kuwa huko auweke hapa,
kwa sasa nipo bize na mambo yangu hapa Zanzibar.Sina muda huo wa kudeal na siasa za CHADEMA au chama chochote kwa sasa.
Sina muda wa kusaidia mvua kunyesha wakati wingu limeshatanda na matone ya mawe yameshaanza kushuka.
Poleni sana wanaCHADEMA wenzangu kwa yote yanayoendelea, Ni mavuno ya mbegu tulizozipanda wenyewe,
Hivyo basi nakanusha na ninatoa Onyo kali sitaki kabisa kabisa kuhusishwa kwenye mambo ya hovyo hovyo kama haya.
Sina msemaji kwenye maisha yangu,mm ndiye Kiongozi wa maisha yangu.Hilo linaloitwa TAMKO feki naona ni njia tu ya nyie wenyewe kujaribu kuzuia moto wa wanachama mliouwasha wenyewe.
kama tunatumiaga nguvu ya umma kuwashuhurikia CCM, tusijaribu kuzuia nguvu ya umma kutushughulikia sisi wenyewe.
Lakini Rai yangu nikuwaacha wananchi wasema yale walionayo,acheni nguvu ya Umma izungumze kuhusu mwenendo wa siasa zetu.
Mods nitafurahi mkiondoa huu uongo,uzushi ambao unanihusu wakati sihusiki na haya yanayosemwa.
Naomba muunganishe majibu yangu haya na huyo mtoa mada ili wanaJf watambue sihusiki na hiki kinachoandikwa hapa,na mwenyeushahidi aulete hapa hadharani.
Nawatakia kazi njema,Naipenda Jf,Nawakubali Mods kwa kazi mnayoifanya licha ya kuwa na changamoto nyingi.
Habib Mchange.
0762178678
Lazima mtamuelewa sana .....Mchange wenye macho wamekusoma. Waungwana tumekuelewa vizuri.
Matusi ya nini jukwaani? Ukiona hakifaiSijui kama tutavuka salama kwenye hili saga. Badala ya kujenga chama tunaendeleza majungu tu. Napenda maccm yatuadhibu mwakani kwenye uchaguzi wa local govt labda tutatia akili. Chama kimekua cha kissenge sana siku hizi.
Vijana mnafanya siasa za kinafiki.
Jana ulikua Mwanza kwenye Tamko la Gwanchele unasema hauhusiki
Matusi ya nini jukwaani? Ukiona hakifai
Unahamia chama kinachokufa. Matusi si mbadala tafuta chama mbadala kwako
Mchange wenye macho wamekusoma. Waungwana tumekuelewa vizuri.