CHADEMA, sihusiki na hayo matamko. Mnapoteza muda kutafuta mchawi wakati ni nyie wenyewe

Mchange

Senior Member
Jul 21, 2009
158
325
Nimeona niianzishie uzi haya majibu yangu baada ya kuona upotoshaji usiokuwa na mithili.

WANA JF na UONGOZI wa JF,

Kwanza kabisa poleni na mchakato mzima wa kujadiliana hapa Jf mambo kadha wa kadha yanayoendelea kwenye nchi yetu na hata nje ya nchi.

Naomba sana Uongozi wa jamiiforum na Great Thinkers wote muachane,muondoe upuuzi kama huu wa watu kutumia jina langu kujikinga na kile walichokichokonoa wao wenyewe.

Mimi sipo huko Shinyanga wala sijawahi kuwa MWANZA kwa kipindi cha siku za hivi karibuni, na kama yupo mwenye uthibitisho wa mimi kuwa huko auweke hapa,

kwa sasa nipo bize na mambo yangu hapa Zanzibar.Sina muda huo wa kudeal na siasa za CHADEMA au chama chochote kwa sasa.

Sina muda wa kusaidia mvua kunyesha wakati wingu limeshatanda na matone ya mawe yameshaanza kushuka.

Poleni sana wanaCHADEMA wenzangu kwa yote yanayoendelea, Ni mavuno ya mbegu tulizozipanda wenyewe,

Hivyo basi nakanusha na ninatoa Onyo kali sitaki kabisa kabisa kuhusishwa kwenye mambo ya hovyo hovyo kama haya.

Sina msemaji kwenye maisha yangu,mm ndiye Kiongozi wa maisha yangu.Hilo linaloitwa TAMKO feki naona ni njia tu ya nyie wenyewe kujaribu kuzuia moto wa wanachama mliouwasha wenyewe.

kama tunatumiaga nguvu ya umma kuwashuhurikia CCM, tusijaribu kuzuia nguvu ya umma kutushughulikia sisi wenyewe.

Lakini Rai yangu nikuwaacha wananchi wasema yale walionayo,acheni nguvu ya Umma izungumze kuhusu mwenendo wa siasa zetu.

Mods nitafurahi mkiondoa huu uongo,uzushi ambao unanihusu wakati sihusiki na haya yanayosemwa.

Naomba muunganishe majibu yangu haya na huyo mtoa mada ili wanaJf watambue sihusiki na hiki kinachoandikwa hapa,na mwenyeushahidi aulete hapa hadharani.

Nawatakia kazi njema,Naipenda Jf,Nawakubali Mods kwa kazi mnayoifanya licha ya kuwa na changamoto nyingi.
Habib Mchange.

0762178678
 
Poleni bwana mchange,ila ukweli unauma.

R.I.P MM(Zitto Kabwe) Dhambi ya usaliti ikutafune hadi ikufilisi wewe na familia yako(baba yako,mama yako,mchumba wako,mtoto wako,kaka,dada na wadogo zako pamoja na ukoo wako na wale wote wanao kusuport) katika kazi yako ya kumsaliti mtanzania aliye kuamini na kukuthamini ili uje umkombe kutoka mikoni mwa mafisadi na walaghai wa nchi.
Kwani umeshindwa kuwafikiria japo hata kidogo,kwa wale waliopoteza maisha,kazi,na hata na wale ambao wanaishi maisha magumu kaajili ya kuishabikia chadema kupitia wewe? Eti kwanini umeamua kumuangusha mtanzania kwa vipande vya pesa kuliko kuwathamini watanzania waliokuamini?
 
WANA JF na UONGOZI wa JF,
Kwanza kabisa poleni na mchakato mzima wa kujadiliana hapa Jf mambo kadha wa kadha yanayoendelea kwenye chi yetu na hata nje ya nchi.
Naomba sana Uongozi wa jamiiforum na Great Thinkers wote muachane,muondoe upuuzi kama huu wa watu kutumia jina langu kujikinga na kile walichokichokonoa wao wenyewe.
Mimi sipo huko Shinyanga,Mimi nipo bize na Biashara zangu hapa Zanzibar na DSm.Sina muda huo wa kudeal na siasa za CHADEMA au chama chochote.Sina muda wa kusaidia mvua kunyesha wakati wingu limeshatanda na matone ya mawe yameshaanza kushuka.
Poleni sana CHADEMA kwa yote yanayoendelea,Ni mavuno ya mbegu mlizozipanda wenyewe,Ni wakati sahihi wa kupigana nyie kwa nyie hata kabla eneo la vita hamjalifikia kwa sababu mlipanda mimba za chuki dhidi ya wapenda haki na demokrasia ya kweli.

Hivyo basi nakanusha na ninatoa Onyo kali sitaki kabisa kabisa kuhusishwa kwenye mambo yoyote ya siasa,Sina msemaji kwenye maisha yangu,mm ndiye Kiongozi wa maisha yangu.Hilo linaloitwa TAMKO feki naona ni njia tu ya nyie wenyewe kujaribu kuzuia moto wa wanachama wenu,kuzuia nguvu ya umma kuwashughulikia.Lakini Rai yangu nikuwaacha wananchi wasema yale walionayo,acheni nguvu ya Umma izungumze kuhusu mwenendo wa siasa zenu.

Mods nitafurahi mkiondoa huu uongo,uzushi ambao unanihusu wakati sihusiki na haya yanayosemwa.
Nawatakia kazi njema,Naipenda Jf,Nawakubali Mods kwa kazi mnayoifanya licha ya kuwa na changamoto nyingi.
Habib Mchange.

chama kilishakufa kitambo-usihangaike nao, fanya mambo yako tartiiiiiiiiiiiiibu_tuliwaeleza kitambo kuwa you can cheat some for some time but not all the time. wamekuwa wakidhani watu bado wajinga vile vile na nimefurahi kiongozi mmoja jana KAJIPAMBANUA kuwa hata chama kikifa its okey lakini hawapo tayar kuondoka madarakani kwsbb wamewekeza sana-wanajiua kwa ku-ignore kila kitu kwa misingi ya magamba, wasaliti, wacha waondoke na jana kwa mara ya kwanza nimewaona wakimlilia ZZK kuwa yanayotokea ndiyo alikuwa anataka na kwamba CCM they are behind the saga . komaeni tu kama mwanzo sio kujiaminisha kwenye upumbavu kuwa kuna mtu anayekiua chama wakati ni ninyi wenyewe-MCHANGE gonga shughuli zako ACHANA nao hao wanatapatap
 
Unahangaika sana kijana.

Mdanganye tu Zitto kwa kumchukulia hela zake huku mafanikio yakiwa sifuri.

Nyie ndiyo mmempaka Zitto kinyesi kabisa na kilichobaki kwake subiri tu maamuzi ya Kamati Kuu ya dharura.

Nasikia ukitoa Tamko la Shinyanga leo unaelekea Tabora.

Nakuhakikishia ni afadhali hiyo hela ya Zitto unayompotezea ukafungue kioski lakini kamwe Chadema haitishwi na matamko ya wahuni...
 
Poleni bwana mchange,ila ukweli unauma.

R.I.P MM(Zitto Kabwe) Dhambi ya usaliti ikutafune hadi ikufilisi wewe na familia yako(baba yako,mama yako,mchumba wako,mtoto wako,kaka,dada na wadogo zako pamoja na ukoo wako na wale wote wanao kusuport) katika kazi yako ya kumsaliti mtanzania aliye kuamini na kukuthamini ili uje umkombe kutoka mikoni mwa mafisadi na walaghai wa nchi.
Kwani umeshindwa kuwafikiria japo hata kidogo,kwa wale waliopoteza maisha,kazi,na hata na wale ambao wanaishi maisha magumu kaajili ya kuishabikia chadema kupitia wewe? Eti kwanini umeamua kumuangusha mtanzania kwa vipande vya pesa kuliko kuwathamini watanzania waliokuamini?

toa majibu ya maswali yaliyowashinda wakubwa zako:-
1. kwanini manunuzi yanafanywa na Mbowe badala ya Tender Board
2. kwanini mapato na matumizi yanashindwa kufikishwa kwny vikao halali na hatimye CAG na PAC
3. kwanini uchaguzi inakuwa issue mpaka kugombana na katiba inachakachuliwa
4. vikao halali vilivyoidhinisha ukopeshwaji wa SLAA mahela yote yale
5. Kazi ya MSHUMBUSI ndani ya Chama na malipo yake yaliridhiwa na nani
6. dada wa LISSU, demu wa MBOWE, mtalaka wa SLAA, mtoto wa MTEI, n.k waliopewa Ubunge wa viti maalum kwa misingi ya kujuana
7. kwanini MBOWE anajinasibu kukisaidia Chama halafu anakuja kudai kinyemela kwa riba
8. kwanini mmechakachua katiba halafu mnakomaa na katiba ya nchi
9. michango mbalimbali kwa njia ya bakuli na wahisani inatumika vipi kwsbb ofisi makao makuu na hata mapango ya kanda haieleweki

10.wajumbe endelezeni mengineyo

DEMOKRASIA IPO WAPI?
 
Sijui kama tutavuka salama kwenye hili saga. Badala ya kujenga chama tunaendeleza majungu tu. Napenda maccm yatuadhibu mwakani kwenye uchaguzi wa local govt labda tutatia akili. Chama kimekua cha kusononesha sana siku hizi.
 
Nenda Shinyanga , Diwani aliyekuwa anawatangazia waandishi sasa kachimba anasema yuko kwa DC na wala sio kwenye ile hotel mliyopanga kutolea tamko......waandishi wana hofu mbona hawaambiwi tamko wapi muda wa news room unaishia .......
 
Nimeona niianzishie uzi haya majibu yangu baada ya kuona upotoshaji usiokuwa na mithili.

WANA JF na UONGOZI wa JF,

Kwanza kabisa poleni na mchakato mzima wa kujadiliana hapa Jf mambo kadha wa kadha yanayoendelea kwenye nchi yetu na hata nje ya nchi.

Naomba sana Uongozi wa jamiiforum na Great Thinkers wote muachane,muondoe upuuzi kama huu wa watu kutumia jina langu kujikinga na kile walichokichokonoa wao wenyewe.

Mimi sipo huko Shinyanga wala sijawahi kuwa MWANZA kwa kipindi cha siku za hivi karibuni, na kama yupo mwenye uthibitisho wa mimi kuwa huko auweke hapa,

kwa sasa nipo bize na mambo yangu hapa Zanzibar.Sina muda huo wa kudeal na siasa za CHADEMA au chama chochote kwa sasa.

Sina muda wa kusaidia mvua kunyesha wakati wingu limeshatanda na matone ya mawe yameshaanza kushuka.

Poleni sana wanaCHADEMA wenzangu kwa yote yanayoendelea, Ni mavuno ya mbegu tulizozipanda wenyewe,

Hivyo basi nakanusha na ninatoa Onyo kali sitaki kabisa kabisa kuhusishwa kwenye mambo ya hovyo hovyo kama haya.

Sina msemaji kwenye maisha yangu,mm ndiye Kiongozi wa maisha yangu.Hilo linaloitwa TAMKO feki naona ni njia tu ya nyie wenyewe kujaribu kuzuia moto wa wanachama mliouwasha wenyewe.

kama tunatumiaga nguvu ya umma kuwashuhurikia CCM, tusijaribu kuzuia nguvu ya umma kutushughulikia sisi wenyewe.

Lakini Rai yangu nikuwaacha wananchi wasema yale walionayo,acheni nguvu ya Umma izungumze kuhusu mwenendo wa siasa zetu.

Mods nitafurahi mkiondoa huu uongo,uzushi ambao unanihusu wakati sihusiki na haya yanayosemwa.

Naomba muunganishe majibu yangu haya na huyo mtoa mada ili wanaJf watambue sihusiki na hiki kinachoandikwa hapa,na mwenyeushahidi aulete hapa hadharani.

Nawatakia kazi njema,Naipenda Jf,Nawakubali Mods kwa kazi mnayoifanya licha ya kuwa na changamoto nyingi.
Habib Mchange.

0762178678

Vijana mnafanya siasa za kinafiki.

Jana ulikua Mwanza kwenye Tamko la Gwanchele unasema hauhusiki
 
Sijui kama tutavuka salama kwenye hili saga. Badala ya kujenga chama tunaendeleza majungu tu. Napenda maccm yatuadhibu mwakani kwenye uchaguzi wa local govt labda tutatia akili. Chama kimekua cha kissenge sana siku hizi.
Matusi ya nini jukwaani? Ukiona hakifai
Unahamia chama kinachokufa. Matusi si mbadala tafuta chama mbadala kwako
 
Mchange wenye macho wamekusoma. Waungwana tumekuelewa vizuri.

Kweli wenye akili tumemwelewa anachokifanya sasa. Maana kwa akili zake fupi, kufikiri kwamba angeweza kuiua Chadema ni sawa na mtu kubeba wembe eti kwenda kukatia mti wa Ubuyu. Bora alivyoamua kuanzisha biashara yake Zanzibaaar! Maana anachotumia ni chake mwenyewe. Usikate tamaa Mchange, kwa kuwa elimu mwenzangu hukupata, ila kun.du mungu amekujaalia ooh, zidisha juhudi katika kumwaga radhi, kwani mtaji ulio nao na nduku lako mwenyewe eehe!
 
Last edited by a moderator:
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom