CHADEMA si kimbilio la wasomi!

Nimeipenda hiyo ya "cdm siyo kimbilio la wasomi" sasa utaipenda kuliko mimi 2015! hao wasomi wa ccm kama unavyojidai ndo wametufikisha hapa na taabu zote! wala hatuwahitaji! mimi mwenyewe sikusoma na rafiki zangu kibao ni kayumba wenzangu! wote tumekunja ngumi! tunasubiri wakati muafaka wa kuirusha! bye.
 
Sio lazima uandike ubnaweza kufanya jambo lingine na wanajamvi si lazima uchangie watu wa namna hii ni wale wanaotafuta sifa kwamba wamepokea mrejesho na bila kuandika chadema hawajisikii
 
Degree ya Jk, angalia Jacob Zuma! Utatambua kuwa mdomoni mwako mmejaa PUMBA.
 
Nafikiri cha msingi hapa ni jinsi gani tunaikwamua jamii maana si kila msomi anaweza kazi na jiulize ni wabunge au mawaziri wangapi wa ccm wana vyeti fake?

Au tuchukulie kuwa ni familia ngapi za wasomi hazina maendeleo wala mtazamo chanya na nina mifano hai ya familia ambazo hazina wasomi lakini wana amani, fedha, miradi nk

Nimeamua kutumia mfano huo mdogo maana naona mwanzilishi wa hu uzi uwezo wake ni mdogo kias ambacho hajui anachomaanisha.

Jamani kama huna hoja sio lazima uandike au uanzishe uzi...
 

mkuu huku obay na masaki wazee wamewachoka ccm wanadai wamesahaulika asikuambie mtu cdm inanguvu hasa huku
 
zawadi u r a disgrace to tanzanian people! am a shamed that i have come across this pathetic thread.
 
Kweli zawadi ni msomi sasa hivi kaenda chuo na kusubiri ukitoka ujibu hoja zimejaa sana.

NB
"vijijini hakuna inflation- msomi malecela"
 
Mbona hao "wasomi" wako wengi wao wako vijiweni pia. Kimbilio lao ni mke wa kigogo wa polisi awezaye kuwapatia kazi usalama wa taifa? It is not a secret that Tanzanian intellectuals(if there are any) live in ewe.
 

Hapo kwenye red, unasema tafiti mlizofanya bila kusema umefanya wewe na nani na mmefanyia wapi. Acha kutuletea jamvini tafiti ulizofanyia kwenye masaburi yako!
 
Poor thinker. Nani aliyesababisha watu wakawa maskini, elimu hawana, vijiwe vinazidi? Akili mgando ndiyo uwezo wake wa kufikiri
 

**** of the highest order!!!!!!
Kwako sifa ya kuwa mkuu wa wilaya ni ipi??? au hufahamu kuwa hao ni makada wa chama chako!unataka watoke CDM?kwa upeo wako kusoma education tatizo nini?
 
wenye elimu kubwa wameisaidia nini nchi hii?
 
Watu wanaletwa hapa JF waanzishe thread za kuwahamisha kwenye mijadala muhimu alafu tunajaa wote bila kushtuka! Mnamfahamu muanzisha thread? Turudini kwenye threads zenye mashiko hawa wakianzisha ujinga wao tuwe tuna ignore tu!

CLOSED TOPIC!
 
maendeleo yanaanza na wewe mwenyewe,fanya kazi kwa bidii uone kama hautaendelea

chama hakitaleta pesa nyumbani kwako,nashangaa sana mtu anaacha kulima hadi msimu wa kilimo unapita yuko busy na vyama lol, biashara hafanyi, kutwa kuandamana anategemea chama kitampa pesa ya matumizi mmh, mtu makini na maisha yake ushabiki wa kipuuzi hana , ataudhuria maandamao au mikutano anapokuwa amemaliza mambo yake yanayomfanya aendelee kuishi, sio kusikiliza porojo zinazonufaisha wengine
 
Halafu unasahau kuwa hao vijana wa kijiweni ndio wapiga kura.
 
Na wale walio kimbia makwao (vijijini) na kuhamia mijini bila shughuli maalum wakifikiria maendeleo yatakuja bila kufanya kazi naona umesahau kuwaeka katika thread yako
 
Tatizo mleta thread mwenyewe sio msomi,laiti angekua anajua hali jinsi ilivyo vyuoni asingekurupuka na fikra zake za kimasaburi.CDM imeshika kotekote,wasomi na waliokosa bahati ya kusoma sana kwasababu ya sera mbovu za CCM.N hao mnaowatukana eti wavijiweni ndio waletao mapinduzi duniani historia inajieleza,nadhani umenisoma we mganganjaa
 
Kama ndio hivyo basi nina wasiwasi na ubora wa elimu inayotolewa Tanzania, manake CDM wasio na elimu wana uwezo mkubwa wa kujenga hoja kuliko CCM ambao ni wasomi. Pamoja na kwamba wanachama wengi wa CDM sio wasomi lakini ni wazalendo wazuri wa nchi yao kuliko wanachama wa CCM... Ni bora wapewe nchi CDM ambao wana sera nzuri, wanajua kujenga hoja na pia ni wazalendo wa nchi yao kuliko kupawa CCM ambao ni wasomi, wasiojua kujenga hoja na ni wabinafsi/mafisadi/walanchi/wezi.
 
nAANZA NA MASWALI ALFU NITAELEZEA MAELEZO YA ZIADA jE VIJIWENI HAKUNA WASOMI ? jE form six sio msomi? Je katika mateja hamna wasomi ? Je msomi ni nani ? Kwa mtizamo wangu aliyefanya utafiti aliufanya kiushabiki badal ya kuangalia vigezo vya kitu anacho kifanyia utafiti na kitu kingine kiongozi sio lazima awe na DIV 1, Mi vYUO VILIVYO KARIBU YANGU yaani Makumira, Arusha, Chuo cha Uhasibu, Mt Meru na CDTI Tengeru wengi ni wanachama/wafuasi wa Chadema na hawa walichagiza Ushindi wa CHADEMA Arumeru Hivyo kueni makini na mnavyoviandika kama tafiti au Kommenti na kitu kingine Serikali za wanafunzi vyuo vikuu msijidange ni wana CCM vipo vyuo vingi ambavyo na mahusiano na maraisi wake nimekutana nao maeneo mbalimbali mwaka 2010 wakipiga kampeni CHADEMA ishinde. MSIKURUPUKE NA TAARIFA ZA TAFITI MKURUPUKO.
 

Ndio maana wanawatumia sana watu hawa kwa kuwaita kwenye maandamano yasiyokuwa na maana, na mwishowe huishia kupiigwa mabomu na kuumizwa huku wenyewe wakirudi nyumbani kustalehe na wake zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…