Mwenzangu unanifumbua macho, hivi ni nini faida ya watu wa vijiweni? Ikiwa toka kuche mpaka jua lizame wenzetu wanapiga hadithi vijiweni, kweli wanaweza kula hadithi. Na watoza kodi watachukua nini kwao?
Sasa naelewa kwa nini CDM katika kampeni zao hutangaza kila kitu NI BURE WAKISHINDA.
Ni kweli mabadiliko huletwa na tabaka la chini, lakini nafikiri hukumuelewa Max kuwa kazi ndio msingi wa maendeleo. Kama Max angekuja TZ na kupewa nchi vijana wa vijiweni wote angewaswaga na kuwapeleka mashambani mfano Gezaulole.
Kifupi Tabaka la chini la wavivu haliwezi kuleta mabadiliko hata siku moja. Kuandamana peke yake hakutoshi, ndio maana ninataka kusikia viongozi wa chadema kuwaambia ukweli wanachama wao kuwa baada ya kuandamana na kuwabwaga CCM, ni nini kitafuata kwa hawa wa kijiweni. Mkishindwa kuwaambia ukweli, na viongozi wenu ni matapeli.
Mwanasiasa ni kiongozi anayewaambia wananchi kile wanachopaswa kusikia, sio kile wanachopenda kusikia. Je mnaweza hayo?
1. Hapo kwenye RED tatizo unakaa bila kuwa na kumbukumbu kama CCM ina wanachama wengi kwa nini uchaguzi mkuu 2010 walifunga vyuo vyote na kuwakosesha wanafunzi hao haki yao ya kupiga kura?
2. Hapo kwenye blue bado nakukumbusha tena mafisadi tunaowazungumzia hivi sasa ni wazalendo? na waadilifu? na ni wanachama wa chama gani?
3. Na nakukumbusha tena baraza la mawaziri lililofanyiwa marekebisho hivi karibuni tatizo na sababu hasa za kufanya marekebisho hayo ni nini? na hao mawaziri ni wa chama gani?
4. Kundi kubwa la wauza madawa ya kurevya, majambazi sugu wanalindwa na chama gani? na ni wanachama wa chama gani?
Ukijibu hayo maswali utapata majibu sio kuandika mambo ya kimahaba mahaba na hicho chama unachojifanya kukipenda.
Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.
Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.
Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.
Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.
Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
Ndugu zanguni shule zenu ndogo, soma uelewe. Hapo kwenye shule... nilinukuuu huyo CHADEMA niliyomjibu, angalia alama za nukuu ("....")
80% ya wafanyakazi ni wapenzi wa CDM? Alow hapo umechemka. Haya jidanganyeni.
Hapo kwenye red sidhani kama ulikua ni mpango wa serikali kuwanyima wanachuo haki yao ya msingi ya kupiga kura, tusiwe wavivu wa kufikiri jamani. Serikali hii ambayo imekuwa ikitumia nguvu nyingi na rasilimali kuamasisha kwa kuelimisha jamii kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu.
Leo unadiriki kudanganya umma wa watanzania kwamba inatumia mbinu za kufunga chuo ili wanachuo wasishiriki?
Hapo kwenye ufisadi ntatumia maneno yafuatayo "watu wanabadilika", watu hatuwezi kuwa static mkuu, we tend to change kwa kufuata muda na mazingira. Mkuu wa kaya anapowapa heshima mawaziri akurupuki, anateua watu wenye sifa stahili, sema hayo yanayotokea ni huruka ya wachache kati ya wengi tulio kwenye chama. Haikupi nguvu ya kuitimisha kuwa wote CCM sio wasafi kwa kuangalia uovu wa vichwa viwili vitatu. Huko upinzani nadhani mnajua mtu wenu Zitto + Halima Mdee walivyobadilika.
Mambo mengine uliyoandika naona ni tuhuma ambazo vijana wa vijiweni wanapenda sana kuziongelea, sasa sijui na wewe ni mmoja wao? CCM chama kilichounda serikali makini na sikivu, ambacho kina miiko na maadili jambo ambalo ni la kuigwa na vyama vya upinzani kwa kukosa kwao maadili, UNAKIUSISHA NA KUWALINDA MAJAMBAZI?
HII NCHI HATUTAKUJA KUWA NA SHUKRANI KWA HALI HII, ujambazi na uhalifu wa kutumia silaha za moto umekaushwa na kutokomezwa kabisa tangu jembe liingie 2005 na ungefatilia hotuba aliyoitoa bungeni mwaka huo 2005 katika inauguration day, alisema atautokomeza ujambazi na kutowaruhusu majambazi kutamba. MHESHIMIWA AMEFANYA KAMA ALIVYOAHIDI, wewe unakuja kuandika upuuzi gani? muwe mnafatilia matukio ya nchini jamani, mkiona hali ni shwari hivi usidhani imejitengeneza yenyewe. THERE ARE PEOPLE RESPONSIBLE. CCM IDUMU CCM ITAWALE DAIMA.
Naona umechagua njia ya matusi
Upumbavu hauna Kipimo!!Nchi yetu....WATANZANIA WOTEW WAPENDA AMANI NA MAENDELEO SI WALE WAPENDA VURUGU NA VITA.
Chama gani Tanzania ni kimbilio la wasomi? Mbona naona chama unachoamini ni kimbilio la wasomi kimegeuka kimbilio la wezi, wala rushwa na waganga njaa? Common, wasomi wapo wapo tu bwana!
Usomi wao unalisiadia nini taifa?Usomi wao uko kwenye makaratasi tu ndio maana wameshindwa hata kujenga kiwanda cha "toothpick"Waana elimu ya ufisadi tu na kulindana?Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education
Umeshawahi kuona wapi msomi akaongozwa na kilaza? labda awe msomi wa vyuo kama Modem Commercial,english fontain, Njuweni ndio size ya Mbowe kuwaongoza.Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.
Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.
Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.
Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.
Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education