Tumewachoka chadema wanaoshabikia hawakijui undani wake ila ukiwa mchunguzi utagundua kile ni chama cha ukoo wa kaskazini mwa Tanzania.
Waacheni wafu wawazike wafu wenzao hivi humu JF tu mnapata picha gani nyie CCM mbona hamsomi alama za nyakati kama tulio JF ni wa kijiweni subiri muone.
Subiri tuone! Mnatutisha, mnadhamiria kushika bunduki. Nawaogopa kama ukoma, maana ile kauli ya mpaka kieleweke sijaielewa mnadhamiria nini?
Jamani ioneeni huruma TZ.
Sasa Mkuu wangu Zawadi Ngoda: if you know that's how a great thinker should be and act, then why doing contrary?!! what is the opposite of the "great thinker"? ..will i dishonour you to call that?!
a great thinker should:
1. Be well informed about the "matter"(and for this matter, i mean REALLY well informed about the topic before posting, probably well informed kuliko wachangiaji)
2. Understand the magnitude of his/her words before uttering them(and be able to take them back when need arises with modesty)
3.Provide Criticism...CONSTRUCTIVE Criticism.
4. HESHIMA- despite destructive criticism from the opponents, yet to withstand the insults for his/her dignity...not by cursing back, but kwa kukubali kukusolewa(VIBAYA) kwani mtu anaweza asiwe informed sana(remember point number ONE)
5. Logical reasoning and Critical analysis( with evidence based au kwa kutoa data)..not kwa ushabiki, mifano isiyo hai n.k
With above and mengine mengi, that's why nikasema kulikuwa na shida katika this topic...yaani ulivyoijenga, yaani title, then contents n.k because with all that italeta kutoeleweka/kudharaulika(kebehi na kubeza) hata kama nia yako was to provide very good insightful knowledge kwetu Mkuu.
Usifiche mkuu! Bangi mbaya saaana!Ngiba yamba nasa.
Kwa maneno hayo niliyoyawekea alama ya fungua na funga semi Hata form six hujafika!.Tafiti tulizozifanya kwa "wanachama hai wa CHADEMA" zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na "waqkati" wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha. Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure. Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini "CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU".
Kweli kabisa CHADEMA ndiyo iliyoteua Mawaziri wakuu 6 kutoka kaskazini na wanaobaki wanne toka Dodoma, Mpanda, Songea na Zanzibar. Na tena ni chama kilichowabangua Wazanzibar kwa kuwapa Waziri mkuu mmoja tangu uhuru! Tena kikatoa Mawaziri wakuu waislamu wawili tangu uhuru!.Tumewachoka chadema wanaoshabikia hawakijui undani wake ila ukiwa mchunguzi utagundua kile ni chama cha ukoo wa kaskazini mwa Tanzania.
Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.
Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.
Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.
Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.
Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
Sikutaka niwachoshe kwa taarifa nzima ya utafiti, mkashindwa kusoma. Kumbuka niliiandaa hii taarifa nikijua kuwa watu wengi watakaosoma ni wakijiweni, hivyo hawana haja ya manamba mengi.
Taarifa ikiwa ndefu na minamba mingi hupoteza mvuto kwa watu wa kijiweni kuisoma.
Point zako ni nzuri na pengine wewe ni msomi pekee wa CDM, lakini kwa bahati mbaya nilipenda watu wengi wa kijiweni wausome muhtasari huu.
Lengo kuu la kuandika taarifa hii ni kuwataharadhisha Uongozi wa CHADEMA moto wanaouandaa kwa nchi yetu. Hii inamaanisha kuwa bado hawajachelewa wanaweza kujinasua sasa hivi.
Sababu nyingine ni kuwataharadhisha waTZ wapiga kura, kuelewa kitachowapata pindi CHADEMA ikichukua nchi.
Haya yote nimeyaandika kwa sababu ya kuipeneda nchi Yangu.
Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education
Pengine unajiliwaza kwa kudhani kuwa CHADEMA imekumbatia wanachama wa madaraja yote TZ. Ikiwa viongozi wa juu wa CDM wamekubali kuwa Chama hiki hakifahamiki Vijijini, ni vipi unadiriki kuwakumbatia wakulima wakati huko hamfahamiki. Au ulimaana wakulima wadogpowadogo wa mijini. Any way swala hilo nawaachia wenzangu watafakari.
Wabunge wa CHADEMA hawana moja. Kumbuka mlipoamua kuondoka Bungeni, Zitto Kabwe alikuwa na lake jingine. Wabunge wengi wa CDM wanaburuzwa na majuaji 5 tu. Hawa wataloamua hakuna kupinga, ukipinga unafukuzwa na kuitwa msaliti. Kuwa na mawazo tofauti ndani ya CHADEMA ina maana kuwa wewe ni CCM. UDIKITETA ULIOJE!!
Nakuelewa kuwa mzee mwenye raha, si unakumbuka sababu kubwa iliyomfanya Mh Sitta akatae ombi lenu la kuhamia chama chenu na kupewa offa ya kugombea Urais. Mh Sitta alisema, Uongozi ndani ya CDM unatolewa kikanda. Na kanda utokayo Mheshimiwa ndio kanda yenye neema CDM..
"Hakuna kulala, mpaka kieleweke" Sentensi hii ina maana, maandamano, Fitina, Uhasama, Danganya, Susia bunge kama mlivyotikisha kiberiti bungeni baada ya uchaguzi na tukio la Arusha. Kifupi maana yake ni vita.