CHADEMA sasa tumeamua ni Mkoa kwa Mkoa

CHADEMA sasa tumeamua ni Mkoa kwa Mkoa

Wakati biashara ya kariakoo ikiendelea kusua sua kila kukicha kwa siku 2 sisi wana cdm tunazidi kupasua anga.

Kesho ni zamu ya kuongea na wana Kigoma na kuwaeleza jinsi ccm ilivyoshindwa kuwatimizia ahadi walizo ahidiwa kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru.

Kama chama tutatazama namna bora ya kuweza kuatua changamoto walionazo ambazo zipo kwenye uwezo wetu .

Hii cdm haki ya Mungu itawauwa watu kwa pressure maana sasa ni mkoa kwa mkoa na wilaya kwa wilaya ili kukiimarisha chama .

PeopleeeeessssssssView attachment 2624434
Ujinga mtupu!
 
Kwani uongozi unapimwa na nn? Yaan umeshindwa kulea familia yako tukupe mtaa
Chadema inajenga ofisi zaidi ya 400 sehemu mbalimbali nchini! Kama kuwa na ofisi ndiyo kigezo mbona taarifa ya CAG Imejaa madubwasha ya wizi???
 
Mchango mzuri sana
 
Wakati biashara ya kariakoo ikiendelea kusua sua kila kukicha kwa siku 2 sisi wana cdm tunazidi kupasua anga.

Kesho ni zamu ya kuongea na wana Kigoma na kuwaeleza jinsi ccm ilivyoshindwa kuwatimizia ahadi walizo ahidiwa kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru.

Kama chama tutatazama namna bora ya kuweza kuatua changamoto walionazo ambazo zipo kwenye uwezo wetu .

Hii cdm haki ya Mungu itawauwa watu kwa pressure maana sasa ni mkoa kwa mkoa na wilaya kwa wilaya ili kukiimarisha chama .

PeopleeeeessssssssView attachment 2624434
Mungu ibariki CHADEMA
 
Eti "HAKI YA MUNGU"
Amri za Mungu " USILITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO"
 
Back
Top Bottom