CHADEMA sasa tumeamua ni Mkoa kwa Mkoa

CHADEMA sasa tumeamua ni Mkoa kwa Mkoa

Ni kweli kwa hapa tulipo CCM imeshindwa lkn nyie miaka yote hiyo mnakula ruzuku mmeshindwa kujenga ofisi ya kueleweka mpaka leo mmepanga kwenye kile kijumba

Tuwe wakweli tu kama ofisi tu ya chama mmeshindwa nchi mtaiweza kweli

CCM imeshindwa lkn nyie mmeshindwa zaidi
Chadema haijapangisha ofisi, Yale ni majengo ya chama tokea 2012 na Hilo jambo lilitolewa ufafanuzi humu humu na Dk Slaa unless kama umejiunga JF mwaka huu.

2. Chadema Ina mpango wa kujenga makao makuu mapya ila imeanza ngazi za wilaya Hadi Kanda kupata ofisi na kama umeona nchi nzima ofisi zaidi ya 400 zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa level tofauti za chama. Na mwaka nguvu itahamia makao makuu.

Pesa nyingi za Chadema zinatumika ngazi ya Kanda sio makao makuu. Hata kampeni ziliratibiwa ngazi ya Kanda sio makao makuu so bajeti nzima inaishia huko na ndio maana Wana ofisi nzuri Kanda zote kuliko makao makuu. Na ndio maana halisi ya kuisimamia sera ya majimbo kwa vitendo.
 
Kweli tumeichoka CCM ila chadema ni failure.
Imefeli Nini? Imewahi kukusanya Kodi alafu ikaiba kama wanavyofanya CCM?

Na kama kweli ni failure ni kwanini wapinzani wakihamia CCM wote wamepewa position kubwa ndani ya serikali? Yaani kivipi serikali Ione wanachama wa Chadema lulu alafu mwanachi hoehae aseme Chadema ni failure?

You can't be serious
 
Ruhusuni watu waulize maswali kwenye mikutano yenu tuone Kama hamjaanza kutukana watu
Mbona press conference zipo na wamekuja wakiuliza maswali magumu sana. Hata Mbowe amewahi kufika kariakoo na kupigwa maswali ya papo kwa papo kwenye join the chain Sasa kivipi Tena unasema hatujawahi ruhusu maswali?
 
Wapeni nafasi wananchi waulize maswali kwenye mikutano yenu hyo...syo press conference mkuu
 
Kwani hizo ruzuku na join the chain mnazitoa wapi
Ile ni hisani ila Kodi ni makusanyo ya lazima so unawajibika kupigwa maswali kama unakusanya Kodi sio kama unatoa pesa ya hiari tu. Kingine ripoti za fedha zinakaguliwa na CAG na mwaka huu tuna hati safi pia so kama Kuna ufisadi CAG angeona!!
 
Asante kwa majibu mazuri
 
Mkuu tumalize utata wekeni wazi watu wawaulize maswali wambieni kabisa kwenye matangazo ya mikutano yenu kuwa watu waandae maswali...mm nakwambia mtapoteana
 
Mkuu tumalize utata wekeni wazi watu wawaulize maswali wambieni kabisa kwenye matangazo ya mikutano yenu kuwa watu waandae maswali...mm nakwambia mtapoteana
Hivi Kuna eneo Lina watu werevu na wajanja kama kariakoo? Mbowe alienda hapo kupigwa maswali ya papo kwa papo bila aibu ndio sembuse aogope maswali ya huko Ujiji? Embu kuweni serious.

Mie sijawahi sikia Kuna maswali kwenye mikutano unless ni kikao Cha ndani au seminar. Ni sawa na useme mwakasege aulizwe maswali madhabahuni inakuja kweli?
 
Muwe mnaruhusu wananchi kuuliza maswali mbona mtanywea mapema sana.
Mnashindwa kuwauliza maswali wanaofuja kodi zenu, waotajwa kila ripoti ya CAG, wanaowadai rushwa kwenye huduma za umma yaani mahospitalini, barabarani hadi TRA halafu mnataka kupoteza muda kuwauliza wanaowafungua akili?
 
Ni kweli kwa hapa tulipo CCM imeshindwa lkn nyie miaka yote hiyo mnakula ruzuku mmeshindwa kujenga ofisi ya kueleweka mpaka leo mmepanga kwenye kile kijumba

Tuwe wakweli tu kama ofisi tu ya chama mmeshindwa nchi mtaiweza kweli

CCM imeshindwa lkn nyie mmeshindwa zaidi
Hebu futa hilo neno Dkt katika jina lako maana unawadhalilisha wenyewe.
Uliambiwa na nani ruzuku ya vyama vya siasa ni ya kujengea ofisi?
 
Mnashindwa kuwauliza maswali wanaofuja kodi zenu, waotajwa kila ripoti ya CAG, wanaowadai rushwa kwenye huduma za umma yaani mahospitalini, barabarani hadi TRA halafu mnataka kupoteza muda kuwauliza wanaowafungua akili?
Mkuu mbona mmeshindwa kuhoji mapato na matumizi ya join the chain
 
Back
Top Bottom