CHADEMA sasa tumeamua ni Mkoa kwa Mkoa

CHADEMA sasa tumeamua ni Mkoa kwa Mkoa

Ni kweli kwa hapa tulipo CCM imeshindwa lkn nyie miaka yote hiyo mnakula ruzuku mmeshindwa kujenga ofisi ya kueleweka mpaka leo mmepanga kwenye kile kijumba

Tuwe wakweli tu kama ofisi tu ya chama mmeshindwa nchi mtaiweza kweli

CCM imeshindwa lkn nyie mmeshindwa zaidi
Unataka ofisi ya kazi gani?
Tuanzie hapo kwanza, isije ikawa unakariri maisha wakati dunia imeshabadilika.
Siku hizi ofisi ni kuwa na login credentials tu
 
Unataka ofisi ya kazi gani?
Tuanzie hapo kwanza, isije ikawa unakariri maisha wakati dunia imeshabadilika.
Siku hizi ofisi ni kuwa na login credentials tu
Umemaliza kazi
 
Muulize Jiwe atakwambia kama aliko huko aliwahi kuwaona cdm
Ndo mnajifariji hivyo wadogo zangu CDM [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamtoboi tushawajua na nyie ni waizi tu
 
yote hayo ni kutafuta ulaji kwa kikundi cha watu..wako radhi kumwaga damu ila wapate kiti hivi..kelele zote zile za lisu na lema na kina mbowe wangekubali wawe wabunge wa kipindi kimoja kupokezana keki hii ya taifa na wote..yaani katiba nitakayoikubali ni ile itakayosema kipindi cha kuwa mwakilishi wa jimbo ni miaka mitano tu tunachagua mwingine na hakuna kujirudia na atakayebadirifu mali astakiwe baada ya kipindi chake..wana siasa wakati wote wanawaza next election and not next generation....Kama sio mwanasiasa achana na siasa...piga kura pita vile acha waparuane wenyewe..
 
Watanzania bado wanauliza ile 1.5 trillion zipo wapi?
 
Ndo mnajifariji hivyo wadogo zangu CDM [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamtoboi tushawajua na nyie ni waizi tu
Wezi ni waliokwapua 1.5 trillion na kutununulia ndege bomu
 
Wakati biashara ya kariakoo ikiendelea kusua sua kila kukicha kwa siku 2 sisi wana cdm tunazidi kupasua anga.

Kesho ni zamu ya kuongea na wana Kigoma na kuwaeleza jinsi ccm ilivyoshindwa kuwatimizia ahadi walizo ahidiwa kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru.

Kama chama tutatazama namna bora ya kuweza kuatua changamoto walionazo ambazo zipo kwenye uwezo wetu .

Hii cdm haki ya Mungu itawauwa watu kwa pressure maana sasa ni mkoa kwa mkoa na wilaya kwa wilaya ili kukiimarisha chama .

PeopleeeeessssssssView attachment 2624434
Poleni sana.Maana inapoondoka tu hiyo helkopta hata Chadema inasahaulika muda huo huo.
 
Back
Top Bottom