CHADEMA sasa tumeamua ni Mkoa kwa Mkoa

CHADEMA sasa tumeamua ni Mkoa kwa Mkoa

Mnashindwa kuwauliza maswali wanaofuja kodi zenu, waotajwa kila ripoti ya CAG, wanaowadai rushwa kwenye huduma za umma yaani mahospitalini, barabarani hadi TRA halafu mnataka kupoteza muda kuwauliza wanaowafungua akili?
Hii nchi Ina wajinga wengi sana, mtu kakomaa na kuhoji michango ya hiari ilihali Kuna pesa za lazima serikali inawakamua kupitia tozo na zimeliwa na wahuni wachache.
 
Hivi Kuna eneo Lina watu werevu na wajanja kama kariakoo? Mbowe alienda hapo kupigwa maswali ya papo kwa papo bila aibu ndio sembuse aogope maswali ya huko Ujiji? Embu kuweni serious.

Mie sijawahi sikia Kuna maswali kwenye mikutano unless ni kikao Cha ndani au seminar. Ni sawa na useme mwakasege aulizwe maswali madhabahuni inakuja kweli?
Basi nawaomba mjaribu kuruhusu maswali....mfano mm nungeuliza hivi...
Katiba ya chadema inasemaje kuhusu ukomo wa madaraka ya Mwenyekiti wetu...najua mngenitimua
 
Mkuu mbona mmeshindwa kuhoji mapato na matumizi ya join the chain
Kuhoji wapi? Walioko kwenye vikao vya maamuzi wanapokea ripoti na kama wanaridhika basi chama kinasonga mbele.
Au ulitaka ripoti ya pesa za Chadema mletewe ccm?
 
Kwani waliopo kwenye vikao vya maamuzi ndo walio changa? Je kwanini mchangishe kwa uwazi lakini mapato na matumizi iwe Siri huoni Kama ni ufisadi na wizi wa hela za umma? Mkuu msiruhusu maswali mtajichanganya kujibu mpaka mpoteane
 
Wakati biashara ya kariakoo ikiendelea kusua sua kila kukicha kwa siku 2 sisi wana cdm tunazidi kupasua anga.

Kesho ni zamu ya kuongea na wana Kigoma na kuwaeleza jinsi ccm ilivyoshindwa kuwatimizia ahadi walizo ahidiwa kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru.

Kama chama tutatazama namna bora ya kuweza kuatua changamoto walionazo ambazo zipo kwenye uwezo wetu .

Hii cdm haki ya Mungu itawauwa watu kwa pressure maana sasa ni mkoa kwa mkoa na wilaya kwa wilaya ili kukiimarisha chama .

PeopleeeeessssssssView attachment 2624434
CCM B katika ubora wenu. 2025 Samia shaa Ikulu kiulainii!! Maridhiano hoyeee
 
Wakati biashara ya kariakoo ikiendelea kusua sua kila kukicha kwa siku 2 sisi wana cdm tunazidi kupasua anga.

Kesho ni zamu ya kuongea na wana Kigoma na kuwaeleza jinsi ccm ilivyoshindwa kuwatimizia ahadi walizo ahidiwa kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru.

Kama chama tutatazama namna bora ya kuweza kuatua changamoto walionazo ambazo zipo kwenye uwezo wetu .

Hii cdm haki ya Mungu itawauwa watu kwa pressure maana sasa ni mkoa kwa mkoa na wilaya kwa wilaya ili kukiimarisha chama .

PeopleeeeessssssssView attachment 2624434
Tija ya mikutano yenu ni ipi hasa maana sioni jipya zaidi ya kusumbua watu na kujifariji Kwa picha kibao za mafuriko ya Lowasa, kwenye uchaguzi mtapigwa kama kawaida..

Binafsi siwezi mchgua Lisu by whatever means.
 
Mnashindwa kuwauliza maswali wanaofuja kodi zenu, waotajwa kila ripoti ya CAG, wanaowadai rushwa kwenye huduma za umma yaani mahospitalini, barabarani hadi TRA halafu mnataka kupoteza muda kuwauliza wanaowafungua akili?
Hayo ndiyo mazuzu ya uvccm ambao wanatufanya kama taifa tuendelee kuishi kwenye lindi la umasikini
 
Hebu futa hilo neno Dkt katika jina lako maana unawadhalilisha wenyewe.
Uliambiwa na nani ruzuku ya vyama vya siasa ni ya kujengea ofisi?
Hayana akili hayo Mandnduka ya lumumba
 
Tija ya mikutano yenu ni ipi hasa maana sioni jipya zaidi ya kusumbua watu na kujifariji Kwa picha kibao za mafuriko ya Lowasa, kwenye uchaguzi mtapigwa kama kawaida..

Binafsi siwezi mchgua Lisu by whatever means.
Hata Lisu hana haja ya kupata kura yako maana wewe ni dunduka wa lumumba
 
Kwani waliopo kwenye vikao vya maamuzi ndo walio changa? Je kwanini mchangishe kwa uwazi lakini mapato na matumizi iwe Siri huoni Kama ni ufisadi na wizi wa hela za umma? Mkuu msiruhusu maswali mtajichanganya kujibu mpaka mpoteane
Watanzania bado tunadai 1.5 trillion mlizo kwapua nyie sukuma gang
 
Hata Lisu hana haja ya kupata kura yako maana wewe ni dunduka wa lumumba
Tanzania watu hawajuchagui sababu ya hoja au sijui nini Bali personality tuu..

Hata hapa Turkiye Ugumu wa Maisha ni Asilimia 85% inflation rate rate yet Bado Erdoganj ameongoza Kwa Asilimia mpinzania hoi..

So msijisumbue saaana,Samia atashinda Urais kuwe na Katiba Mpya au ya Zamani na Mbowe awe Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi lazima ccm itashinda ,ni kelele tuu mnafanya..

Nawapa mfano mdogo huyo mbunge wenu wa Nkasi Aida alishinda Kwa sababu Messy alitukana watu wakaeneza chuki so ccm itaweka mgombea wake mzuri wanadudisha Jimbo lao,Iko hivyo maeneo mengi..

Huu ni ukweli mchungu,just imagine Mkoa kama wa Katavi ukiacha pale Mjini Mpanda kwingine kote Chadema Iko vijiweni Vijijini huko hakuna mtu ana habari nao 🤣🤣
 
Tanzania watu hawajuchagui sababu ya hoja au sijui nini Bali personality tuu..

Hata hapa Turkiye Ugumu wa Maisha ni Asilimia 85% inflation rate rate yet Bado Erdoganj ameongoza Kwa Asilimia mpinzania hoi..

So msijisumbue saaana,Samia atashinda Urais kuwe na Katiba Mpya au ya Zamani na Mbowe awe Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi lazima ccm itashinda ,ni kelele tuu mnafanya..

Nawapa mfano mdogo huyo mbunge wenu wa Nkasi Aida alishinda Kwa sababu Messy alitukana watu wakaeneza chuki so ccm itaweka mgombea wake mzuri wanadudisha Jimbo lao,Iko hivyo maeneo mengi..

Huu ni ukweli mchungu,just imagine Mkoa kama wa Katavi ukiacha pale Mjini Mpanda kwingine kote Chadema Iko vijiweni Vijijini huko hakuna mtu ana habari nao [emoji1787][emoji1787]
Tatizo lako ni wazazi wako walikuzalia kwenye mkesha wa mbio za mwenge
 
Back
Top Bottom