CHADEMA sasa tumeamua ni Mkoa kwa Mkoa

CHADEMA sasa tumeamua ni Mkoa kwa Mkoa

Ni kweli kwa hapa tulipo CCM imeshindwa lkn nyie miaka yote hiyo mnakula ruzuku mmeshindwa kujenga ofisi ya kueleweka mpaka leo mmepanga kwenye kile kijumba

Tuwe wakweli tu kama ofisi tu ya chama mmeshindwa nchi mtaiweza kweli

CCM imeshindwa lkn nyie mmeshindwa zaidi
Chadema sio Majengo ni Watu.
Ofisi siku hizi ni za kidigitali achana na mambo ya kizamani.

Tuko mbele ya muda.
 
Wakati biashara ya kariakoo ikiendelea kusua sua kila kukicha kwa siku 2 sisi wana cdm tunazidi kupasua anga.

Kesho ni zamu ya kuongea na wana Kigoma na kuwaeleza jinsi ccm ilivyoshindwa kuwatimizia ahadi walizo ahidiwa kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru.

Kama chama tutatazama namna bora ya kuweza kuatua changamoto walionazo ambazo zipo kwenye uwezo wetu .

Hii cdm haki ya Mungu itawauwa watu kwa pressure maana sasa ni mkoa kwa mkoa na wilaya kwa wilaya ili kukiimarisha chama .

PeopleeeeessssssssView attachment 2624434
Twanga kotekote iendelee
 
Ni kweli kwa hapa tulipo CCM imeshindwa lkn nyie miaka yote hiyo mnakula ruzuku mmeshindwa kujenga ofisi ya kueleweka mpaka leo mmepanga kwenye kile kijumba

Tuwe wakweli tu kama ofisi tu ya chama mmeshindwa nchi mtaiweza kweli

CCM imeshindwa lkn nyie mmeshindwa zaidi
Ofisi kitu kidogo wee mama, hujiulizi kwnn chadema Wana magari kila kona lkn ofc ni ya kawaida??? Kipaumbele chetu sio ofc bali vitendea kz...gari moja tu ya chadema ni milion 90 ..tunagari zaidi ya 50 ...Nini ofc ?!?

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Na tumechagua kuwa na magari ili tuweze kuwafikia walengwa yani wana chama na wananchi kwa ujumla ambao kimsingi ndiyo nguzo kuu ya chama.
 
Back
Top Bottom