Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Wakati biashara ya kariakoo ikiendelea kusua sua kila kukicha kwa siku 2 sisi wana cdm tunazidi kupasua anga.
Kesho ni zamu ya kuongea na wana Kigoma na kuwaeleza jinsi ccm ilivyoshindwa kuwatimizia ahadi walizo ahidiwa kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru.
Kama chama tutatazama namna bora ya kuweza kuatua changamoto walionazo ambazo zipo kwenye uwezo wetu .
Hii cdm haki ya Mungu itawauwa watu kwa pressure maana sasa ni mkoa kwa mkoa na wilaya kwa wilaya ili kukiimarisha chama .
Peopleeeeessssssss