Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,252
- 98,257
- Thread starter
- #101
Pole sana maana huo ndiyo ukomo wa akili yako ya kafundishwa na chakubanga
Wahi ukachukue buku 7 lumumba chumba namba 3
Wahi ukachukue buku 7 lumumba chumba namba 3
Hata kama si mwanachama wa chama chochote, michango yako humu ni mipasho tu, huna la maana sasa unalozungumzia kwenye kupinga. Upo tu kama mzomeaji mpiga makelele basi.