CHADEMA sasa kumekucha

CHADEMA sasa kumekucha

Hapo mmejenga(mmenenga) au mmekodi!!? Makao Makuu mmeshindwa mtaweza majimboni!!? Endelea kutoa!!
 
Naona ugimbi wa Dodoma bado umekukaba akili maana hata ulicho kiandika ni 00
Hapo mmejenga(mmenenga) au mmekodi!!? Makao Makuu mmeshindwa mtaweza majimboni!!? Endelea kutoa!!
 
Wakati kuna watu wanajidanganya kuwa cdm inakufa sisi ndiyo kwanza tunazidi kujiimarisha kwa kuanza sasa kuimarisha na kunenga ofisi zetu za majimbo ili kujikita zaidi kwenye ngazi zote kiutawala
Hizo ofisi zipo musoma mjini na ni mali ya chama.View attachment 1084228View attachment 1084229
Rangi nyekundu inaashiria mauaji, hivyo msitegemee kabisa hicho kikundi kuja kuchukua nchi, never never, watu lazima wachague kijani
 
Wauwaji wa kina mawazo na watesaji na watekaji wakubwa wewe ndiye mpishi wao
Rangi nyekundu inaashiria mauaji, hivyo msitegemee kabisa hicho kikundi kuja kuchukua nchi, never never, watu lazima wachague kijani
 
Back
Top Bottom