CHADEMA sasa kumekucha

CHADEMA sasa kumekucha

Mbona unatudanganya ,aisee! Ofisi hazina mwonekano wa chama. Mmepangishwa na mahasimu wenu CCM? Pango lenu ni shilingi ngapi kwa mwezi?
 
Ukiachana na majengo kuna swali linanitatiza sijapata jibu hivi kwanini kwa kipindi hichi wafuasi wa chadema wanahama sana kuhamia ccm? Na bado unasema mpo vizuri?
Hili ni swali halali kabisa hata kama wenyewe hawapendi kulisikia. Lipo na litaendelea kuwepo, na litaendelea kuwatesa sana CHADEMA.
Hili haliwezi kufutika kirahisi kwa majibu mepesi mepesi ya biashara inayoendelea sasa hivi.
 
Wanao enda kuunga mkono ni haki yao baada ya kufika bei
 
Mbona unatudanganya ,aisee! Ofisi hazina mwonekano wa chama. Mmepangishwa na mahasimu wenu CCM? Pango lenu ni shilingi ngapi kwa mwezi?
Wewe ni sawa na wale makasuku wa mjengoni
 
Waache waendelee kujidanganya lkn kadri muda unavyosonga ndiyo wananchi wanazidi kuapat ujasili wa kudai haki yao na ipo siku tutdaai haki yetu
ccm haijawahi jenga ofisi hata moja, yote ni majengo ya wananchi. time will come when all public properties will be confisticated
 
Wakati kuna watu wanajidanganya kuwa cdm inakufa sisi ndiyo kwanza tunazidi kujiimarisha kwa kuanza sasa kuimarisha na kunenga ofisi zetu za majimbo ili kujikita zaidi kwenye ngazi zote kiutawala
Hizo ofisi zipo musoma mjini na ni mali ya chama.View attachment 1084228View attachment 1084229
Lile basi alilochangiwa Lissu limeshafika au rangi ya Photoshop imepauka?
Kama mmejenga ni mwanzo mzuri, ingawa ni shuka asubuhi.
 
Ccm mna majengo mengi ya kupora kutoka kwa wananchi lkn nini mmelifanyia taifa zaidi ya kupora rasilimali na kutuzidishia umasikini?
Miaka yote hiyo mnaofisi moja tu???
 
Lissu yupi huyo au yule mliyo mmiminia risasi kibao?
Lile basi alilochangiwa Lissu limeshafika au rangi ya Photoshop imepauka?
Kama mmejenga ni mwanzo mzuri, ingawa ni shuka asubuhi.
 
Back
Top Bottom