Kama Dsm Chama kinakodi ofisi iweje Musoma mjini ofisi ijengwe huko au makao makuu yako Musoma? Tungejua pia na plot number tukaenda kuangalia Ardhi tutoe pongezi.Mtakuwa mmekodi tu hizo nyumba huoni hata rangi zenyewe. Uwezo wa kujenga ofisi hakuna.
Mkuu wanajenga aiseeeMtakuwa mmekodi tu hizo nyumba huoni hata rangi zenyewe. Uwezo wa kujenga ofisi hakuna.
Mkuu apo napafaham vizr iyo Nyumb ad mmiliki wake maana kutoka apo iyo Nyumb Ilipo kwenda kwet unapita Nyumb 3 tu Nyumb inayofat ndo nyumbnKama Dsm Chama kinakodi ofisi iweje Musoma mjini ofisi ijengwe huko au makao makuu yako Musoma? Tungejua pia na plot number tukaenda kuangalia Ardhi tutoe pongezi.
Rangi za chamaUlitaka tuezeke za rangi gani mzee?
Hiyo nyumba ni nzee imepakwa rangi, hata bati zimezeeka ssa nyumba mpya ndo hiyo?Wakati kuna watu wanajidanganya kuwa cdm inakufa sisi ndiyo kwanza tunazidi kujiimarisha kwa kuanza sasa kuimarisha na kunenga ofisi zetu za majimbo ili kujikita zaidi kwenye ngazi zote kiutawala
Hizo ofisi zipo musoma mjini na ni mali ya chama.View attachment 1084228View attachment 1084229
Hahaahahaaaa!!!Hayo majengo ndio yatapiga kura
Hapana tume ya uchaguzi na polisi ndio watapiga.Hayo majengo ndio yatapiga kura
Kila siku tunawauliza mtuambie ccm wao wamejenga ofisi wapi ktk nchi hii, lkn hamsemi....!!!Mtakuwa mmekodi tu hizo nyumba huoni hata rangi zenyewe. Uwezo wa kujenga ofisi hakuna.