watu hawaelew tu kuwa kufa kupo tu hata kama uishi miaka 8000!.Hongera sana kiongozi tupo pamoja sana kwenye hiyo subira hadi kieleweke
ifike hatua kila mwanadam aikane nafsi yake ili kupitia yy ajue kuna kizazi kitanufaika, manufaa yanayopatikana ktk nchi zilozoendelea ni ile neema ilioandaliwa na watu kwa amana ya damu zao!Uoga ndiyo kikwazo cha mabadiliko lkn hakuna marefu yasiyo na ncha
Ipo siku, mambo yataiva tu... tena hakuna ogomvi mbaya kama ule wa kugombana na mtu ambae ulimtukana kwa mda na wala hakukujibu kitu, hua anapiga na kuuma juu.Maneno yenye busara sana
Unapata wapi ujasiri wa kuongea haya?Mbona hukusema ni ofisi za jimbo lipi!
CAG hapo lazima aruke na ninyi - fedha zetu hizo hazijapitia kwenye vikao halali
Ulipata wapi ujasiri wa kuandika hayo?Unapata wapi ujasiri wa kuongea haya?
Sijawahi kuona mchango wako wa maana humu JF. Hata huko CHADEMA sidhani kama una msaada wowote.Wewe ni sawa na wale makasuku wa mjengoni
We unaonaje??Hayo majengo ndio yatapiga kura
Hata kama si mwanachama wa chama chochote, michango yako humu ni mipasho tu, huna la maana sasa unalozungumzia kwenye kupinga. Upo tu kama mzomeaji mpiga makelele basi.Pole sana yaani kama unadhani kila mpinzani wa ccm au mpenzi wa cdm au upinzani basi ni mwanachama wa upinzani au chama cha upinzani