Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,063
- 11,109
Alafu bado kuna mijitu inamuona Jiwe ni mzalendo kwa Taifa hili!
Kuna mtu ni malignant cancer kwa nchi hii!
Miswada ya sheria inapelekwa bungeni na serikali, Je ni mwanasheria mkuu wa serikali au Kabudi ndiye alipeleka mswada huu?kwani magufuli ndo anaye tunga sheria ye kazi yake ni kusaini tu wlichopitisha wabunge
So what can we do....?? Badala mjipange na kutumia akili zaidi mnakalia kulialia tu hapa..! Shida ya CHADEMA ni kudhani watatumia wananchi kulinda maslahi yao wananchi wasiojua ata maslahi yao ni yepi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo imesainiwa na Sheria inamtaka angalau miaka miwili kabla ya uchaguziLabda kama hiyo sheria inatumika kuanzia kabla haijasainiwa vinginevyo Maalim keshawapiga chenga ya mwili.
Pamoja na ubaya wake onyesha kifungu siyo kupayuka kama uko kilabuni.Nilisema juzi na nikatukanwa kwamba Sheria hiyo mpya ingesainiwa mda wowote na Mhe Rais-na imekuwa.
Sasa basi kwa taarifa yenu kwa Sheria hiyo ambayo ni jembe kabisa huyo mtembelea mkongojo Maalim hatunaye tena. Kwa vyovyote vile Sheria hiyo inamzuia kugombea kwenye Chama chake kipya kwa sababu ya mda.
Ndugu yangu Maalim tuonane tu Paradiso!
Wakati fulani baba wa Taifa alisema uoga ndio uliomfanya asitunguliwe madarakani katika kipindi cheusi ambacho africa by that time walipitiaKuna wakati mbinu chafu hukwama,CCM ni chama kichovu sana na kioga sana, hivi mnatishika na nini wakati mmasaidiwa na jeshi?
Hii nchi kupata maendeleo ni sawa na kumkuta nyani anaishi baharini
Una uelewa japo mdogo kabisa juu ya matakwa ya sheria mpya?Leo imesainiwa na Sheria inamtaka angalau miaka miwili kabla ya uchaguzi
Miaka miwili.ule bado ni muswada. lakini pia inakatazwa mtu kugombea kama hujakaa kwenye chama husika chini ya mwaka mmoja. uchaguzi ni tarehe 25.10.2020 maalim kahama juzi
wewe kwa ujinga wako unasema hatagombea!
Yaani huyu hawlewi kabisa. Ni mbumbumbu hasa. Hakuna anachojua.ule bado ni muswada. lakini pia inakatazwa mtu kugombea kama hujakaa kwenye chama husika chini ya mwaka mmoja. uchaguzi ni tarehe 25.10.2020 maalim kahama juzi
wewe kwa ujinga wako unasema hatagombea!