CHADEMA: Rais kasaini sheria mpya ya siasa na Tanzania inaenda kuwa Rwanda rasmi, ndio maana Polepole anasema vyama vingi havina maana CCM kinatosha

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,374
2,000
Alafu bado kuna mijitu inamuona Jiwe ni mzalendo kwa Taifa hili!

Kuna mtu ni malignant cancer kwa nchi hii!
kwani magufuli ndo anaye tunga sheria ye kazi yake ni kusaini tu wlichopitisha wabunge
Miswada ya sheria inapelekwa bungeni na serikali, Je ni mwanasheria mkuu wa serikali au Kabudi ndiye alipeleka mswada huu?
Je mkuu wa serikali ni nani?
Kwa mara ya mwisho nilipoouliza nilijibiwa, "Ni Magufuli".
 

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
14,552
2,000
So what can we do....?? Badala mjipange na kutumia akili zaidi mnakalia kulialia tu hapa..! Shida ya CHADEMA ni kudhani watatumia wananchi kulinda maslahi yao wananchi wasiojua ata maslahi yao ni yepi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Lazima watafute njia ya kujiondoa hapo badala ya kulalama.

Nadhani mahakama ni niia ya mwanzo kabisa sioni mantiki ya kulia lia hapa.

Shangazi Fatuma Karume pamoja na wadau mbali mbali wamefungua kesi kuhusiana na tume ya uchaguzi na Wakurugenzi wa miji kusimamia uchaguzi (Returning officer) fikiria miaka yote wapinzani hawakuona umuhimu wa kupambana na kadhia hii,

Ukimwona Baba analia unategemea watoto wafanye nini ?.
 

Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
1,703
2,000
Mm Alhaj Ahmad Bin Abdulrahman, mtu kwa maneno yang masema ivi mke wako ata umpe mali dunia yote na vilivyomo kam humpi raha na furaha atakusaliti na kuitafuta hiyo raha kwingneko. Sasa nasema ivi, mtujengee flyover, mtujengee maghorofa mtununulie ndege za kwenda kutalii ulaya,,maziwa na asali vimiminike majumban mwetu ila tu mmetunyima haki na uhuru,,tutavitafuta kwingineko kwa gharama yyte
 

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
Nilisema juzi na nikatukanwa kwamba Sheria hiyo mpya ingesainiwa mda wowote na Mhe Rais-na imekuwa.

Sasa basi kwa taarifa yenu kwa Sheria hiyo ambayo ni jembe kabisa huyo mtembelea mkongojo Maalim hatunaye tena. Kwa vyovyote vile Sheria hiyo inamzuia kugombea kwenye Chama chake kipya kwa sababu ya mda.

Ndugu yangu Maalim tuonane tu Paradiso!
 

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,672
2,000
Nilisema juzi na nikatukanwa kwamba Sheria hiyo mpya ingesainiwa mda wowote na Mhe Rais-na imekuwa.

Sasa basi kwa taarifa yenu kwa Sheria hiyo ambayo ni jembe kabisa huyo mtembelea mkongojo Maalim hatunaye tena. Kwa vyovyote vile Sheria hiyo inamzuia kugombea kwenye Chama chake kipya kwa sababu ya mda.

Ndugu yangu Maalim tuonane tu Paradiso!
Pamoja na ubaya wake onyesha kifungu siyo kupayuka kama uko kilabuni.
 

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
4,619
2,000
Kuna wakati mbinu chafu hukwama,CCM ni chama kichovu sana na kioga sana, hivi mnatishika na nini wakati mmasaidiwa na jeshi?
Hii nchi kupata maendeleo ni sawa na kumkuta nyani anaishi baharini
Wakati fulani baba wa Taifa alisema uoga ndio uliomfanya asitunguliwe madarakani katika kipindi cheusi ambacho africa by that time walipitia
 

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
4,323
2,000
Ule bado ni muswada. lakini pia inakatazwa mtu kugombea kama hujakaa kwenye chama husika chini ya mwaka mmoja. uchaguzi ni tarehe 25.10.2020 maalim kahama juzi
wewe kwa ujinga wako unasema hatagombea!
 

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
ule bado ni muswada. lakini pia inakatazwa mtu kugombea kama hujakaa kwenye chama husika chini ya mwaka mmoja. uchaguzi ni tarehe 25.10.2020 maalim kahama juzi
wewe kwa ujinga wako unasema hatagombea!
Miaka miwili.
 

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
9,235
2,000
ule bado ni muswada. lakini pia inakatazwa mtu kugombea kama hujakaa kwenye chama husika chini ya mwaka mmoja. uchaguzi ni tarehe 25.10.2020 maalim kahama juzi
wewe kwa ujinga wako unasema hatagombea!
Yaani huyu hawlewi kabisa. Ni mbumbumbu hasa. Hakuna anachojua.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom