Sam Seaborn
Member
- Aug 20, 2011
- 98
- 39
kwa nini hatusikii maandamano na mwamko wa CHADEMA mikoa ya Pwani? CHADEMA inaonekana iko very active mikoa ya KANDA YA KASKAZINI, ZIWA NA KANDA YA JUU KASKAZINI
Pwani inajumuisha:
BAGAMOYO
KIBAHA VIJIJINI
KIBAHA MJINI
KISARAWE
RUFIJI
MKURANGA
MAFIA
Kwa sababu kimaendeleo hawa ndio wako nyuma kuliko eneo lolote lile Tanzania na ingekuwa wepesi zaidi kwa watu wa mikoa hii kuamka na kuanza kulalamika juu ya serikali au tuseme kuwa watu wa PWANI hawana muda na CHADEMA?
Hivi statistically kwenye elections zilizopita CHADEMA ilipata asilimia ngapi Pwani na wilaya zipi ilishinda kwa wingi kati ya hizo hapo juu?