CHADEMA, Profesa Safari yuko wapi?

faiza foxy yu buheri wa afya na mwanachama madhbuti wa Chadema,ila kwa sasa anaandaa mswada wa kitabu chake kipya
Sijui kama unajua kesha andika vitabu vyingi,tembelea bookshops utaviona
Hivi BWM na JMK wamewahi kuandika chochote zaidi ya soga la majukwaani?
Taarfa zaidi muulizie mitaa ya Alimaua
 
Safi prof safari ,waache bavichaaa washike UKUTA kivyao . ndio maisha waliyoyachagua
 
Hivi kwanini kila uchao Lumumba hamuishi kuiota CHADEMA? Kila thread ya mwana Lumumba ni CHADEMA/UKAWA vipi habari za tingatinga hazilipi?

Swali wana hofu na UKAWA/CHADEMA wasije wakaitumbukiza nchi kwenye matatizo...na UKAWA?CHADEMA wana hofu na CCM wasije wakaifanya UKAWA?CHADEMA ikapotea katika siasa za Tanzania
 
Safi prof safari ,waache bavichaaa washike UKUTA kivyao . ndio maisha waliyoyachagua
Unafiki kitu kibaya sana hapa alikuwa kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema ndipo walipotoka na Azimio la kuanzia operesheni (UKUTA ) vitu vingine kama hujui uwe unauliza siyo kutoa majibu ya kukurupuka
 
Hivi kwanini kila uchao Lumumba hamuishi kuiota CHADEMA? Kila thread ya mwana Lumumba ni CHADEMA/UKAWA vipi habari za tingatinga hazilipi?
Kweli hii ni Double standard hivi fanya uwiano Kati ya wafuasi wa Chadema na CCM nani anaongoza kwa kuleta habari zisizo muhusu.. Habari za CCM zikiletwa na Ukawa sawa, mfano kipindi JK ajakabiz Uenyekiti kila siku mlikua mnazua, mara ngapi hapa mnazua kuhusu CCM, au viongozi wa CCM.. Ila zikiletwa habari za Chadema mnakimbilia kujenga ukuta wa makuti.. Utasikia mnamuota Lowasa, au CHADEMA, au Mbowe.. Ni kiwango cha chini cha ukuta
 
Nawewe ni kinyaa tuu
 

Nadhani huu ujumbe unamuhusu Lizaboni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…