CHADEMA overdoing imepoteza ushawishi ndani ya Zanzibar!

CHADEMA overdoing imepoteza ushawishi ndani ya Zanzibar!

Kuliwahi kutokea wakati wowote katika siasa za Tanzania Chadema iliwahi kuwa na ushawishi wowote wa maana Zanzibar?, wamewahi kuwa na shehia hata moja?, mwakilishi hata mmoja?, mbunge hata mmoja?.
P
Hatuwataki hao akina Saidi Issa Mohamed na wenzake ndani ya CDM
 
Kwani ni lini Zanzibar paliwahi kuwa stronghold ya CHADEMA?
 
Back
Top Bottom