CHADEMA (Odinga) vs CCM (Uhuru) siasa za nje!

CHADEMA (Odinga) vs CCM (Uhuru) siasa za nje!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,018
Reaction score
20,489
Ni ukweli usiotiliwa shaka kuwa CCM inainjinia uchaguzi wa Kenya, na ipo upande wa Uhuru mmoja wa wagombea urais wa Kenya,

Vivyo hivyo chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA, kimejikita katika siasa za kimataifa kwa hapo Kenya huku karata yake kikiitupa miguuni mwa Raila Odinga mmoja wa wagombea anaepewa nafasi kubwa ya kushinda kupitia muungano wa vyama ndugu.

Vita hii tunaiangaza kama ni ya mapambano ya CHADEMA na CCM kuelekea 2015 hasa kila mmoja akisafisha njia ya kuungwa mkono kumataifa,

Ikiwa ni hivyo tayari CCM na CHADEMA kila mmoja ashashinda kete moja moja, kwanza ni CHADEMA Zambia kwa bwana Satta, na CCM Congo kwa kijana Kabila ambako dhahiri utawala unakula huku umeshikilia sahani mkononi kwani hakuna tumaini la kuweka mezani chakula chini ya M23.

Je ni CHADEMA (Odinga) ama CCM (Uhuru)

Karata yangu naitua kwa CHADEMA.
 
ni lini CHADEMA wametangaza kumuunga mkono Odinga au Kenyata au CCM wametangaza lini mbona mnapenda kuzusha mambo na kujiingiza kwenye siasa za watu.....mambo ya kenya waachieni wakenya wenyewe mara huyu hivi yule vilee Watanzania bana ya kwenu yamewashinda mnaanza umbea
 
Wewe una matatizo si kidogo.
By the way, uchaguzi wa Kenya ni very sensitive matter kutokana na historia ya uchaguzi uliopita. Vithread vya kipumbavu kama hivi vinaweza kuwa sababu ya kukosekana msuluhishi just in case jambo baya likitokea.
Utu uzima haupigi hodi, UMESHAKUWA mkubwa behave kama mkubwa...
 
CCM ni makini sana, wala hawakutamka kuhusu uungaji mkono kwa mgombea yeyote; CHADEMA kutokana na kukosa ukomavu na busara wamejiingiza kichwa kichwa kumuunga mkono ODINGA, jioni ya leo watakula jeuri yao na kupata pigo la kisiasa tukielekea uchaguzi 2014 na 2015
 
Huyo Uhuru si ndio anakesi The hegue? Alafu Uingereza tayari imeshasema haitafanya kazi nae kutokana na mashtaka anayokabiliwa nayo.

Mimi naona Raila atashinda kwa kishindo. CCM kwa jini wao kila sehemu ni poor analysis?
 
ni lini chadema wametangaza kumuunga mkono odinga au kenyata au ccm wametangaza lini mbona mnapenda kuzusha mambo na kujiingiza kwenye siasa za watu.....mambo ya kenya waachieni wakenya wenyewe mara huyu hivi yule vilee watanzania bana ya kwenu yamewashinda mnaanza umbea
Hutaki unaacha.
 
CCM ni makini sana, wala hawakutamka kuhusu uungaji mkono kwa mgombea yeyote; CHADEMA kutokana na kukosa ukomavu na busara wamejiingiza kichwa kichwa kumuunga mkono ODINGA, jioni ya leo watakula jeuri yao na kupata pigo la kisiasa tukielekea uchaguzi 2014 na 2015
walitangaza lini aisee??
 
Karata yangu naitupa kwa Raila Amollo Odinga wa muungano wa CORD.

Lakini hali inavyoonyesha kutakuwa na duru ya pili ya kura.

Ni kweli, lakini huenda upepo ukabadilika kadiri mdabunavyokwenda hasa maeneo ya kusini mashariki mwa kenya kulingana na jiografia ya siasa za kenya.
 
Ni ukweli usiotiliwa shaka kuwa CCM inainjinia uchaguzi wa Kenya, na ipo upande wa Uhuru mmoja wa waogombe urais wa Kenya,

Vivyo hivyo chama kikuu cha upinzani nchini chadema, kimejikita katika siasa za kimataifa kwa hapo Kenya huku karata yake kikiitupa miguuni mwa Raila Odinga mmoja wa wagombea anaepewa nafasi kubw ya kushinda kupitia muungano wa vyam ndugu.

Vita hii tunaiangaza kama ni yamapambano ya chadema na ccm kuelekea 2015 hasa kila mmoja akisafisha njia ya kuungwa mkono kumataifa,

Ikiwa ni hivyo tayari ccm na chadema kila mmoja ashashinda kete moja moja, kwanza ni Chadema Zambia kwa bwana Satta, na CCM Congo kwa kijana Kabila ambako dhahiri utawala unakula huku umeshikilia sahani mkononi kwani hakuna tumaini la kuweka mezani chakula chini ya M23.

Je ni chadema (Odinga) ama CCM (Uhuru)

Karata yangu naitua kwa Chadema.

Ushahidi mkuu, au unaongea kinyume? mbona kuna ushahidi wa kutosha kuwa kuna magari ya M4C nchini kenya kwa ajili ya kuhakikisha ODINGA anashinda?
 
Tangu Andrew aseme hakutambui, nimekuwa nikipuuzia post zako!

Ha ha haa.......na huyu alimtambua?

11251.JPG
 
Wewe una matatizo si kidogo.
By the way, uchaguzi wa Kenya ni very sensitive matter kutokana na historia ya uchaguzi uliopita. Vithread vya kipumbavu kama hivi vinaweza kuwa sababu ya kukosekana msuluhishi just in case jambo baya likitokea.
Utu uzima haupigi hodi, UMESHAKUWA mkubwa behave kama mkubwa...

Ikiwa mnaendesha siasa za ghiriba kwa majirani kisha mje mjifanye wasuluhishi hilo ni unafiki tu,

Odinga atashinda na ccm mtakosa wasaidizi 2015
 
John Pombe Magufuli alikwenda kuzindua kampeni za Odinga na kumpigia debe, je ndani ya CCM yuko katika nafasi gani? Je ni hatua zipi za kinidhamu anastahili kuchukuliwa na CCM?!
 
CCM ni makini sana, wala hawakutamka kuhusu uungaji mkono kwa mgombea yeyote; CHADEMA kutokana na kukosa ukomavu na busara wamejiingiza kichwa kichwa kumuunga mkono ODINGA, jioni ya leo watakula jeuri yao na kupata pigo la kisiasa tukielekea uchaguzi 2014 na 2015
Hivi unaweza kuongoza nchi kupitia Skype? usijekuukimbia huu uzi.
 
ni lini chadema wametangaza kumuunga mkono odinga au kenyata au ccm wametangaza lini mbona mnapenda kuzusha mambo na kujiingiza kwenye siasa za watu.....mambo ya kenya waachieni wakenya wenyewe mara huyu hivi yule vilee watanzania bana ya kwenu yamewashinda mnaanza umbea
Uhuru kaja tz kakaa zaidi ya wiki mwezi uliopita, au hilo hujui ila unajua ubishi tu?
 
Tangu Andrew aseme hakutambui, nimekuwa nikipuuzia post zako!

Mkuu usipotoshwe, Yericko Nyerere ni verified user hapa JF au unahoji integrity ya JF? Andrew Vs Yerecko Nyerere imekaa kisiasa zaidi usiingilie mambo yao na wala usisumbuliwe na mambo yao.
By the way, tunaangalia hoja zaidi kuliko mleta hoja. Ni kosa kuhusisha hoja na mleta hoja.
 
Ikiwa mnaendesha siasa za ghiriba kwa majirani kisha mje mjifanye wasuluhishi hilo ni unafiki tu,

Odinga atashinda na ccm mtakosa wasaidizi 2015
Mkuu mimi ni CDM, lakini nitasikitika sana akishinda jaluo.
 
Back
Top Bottom