CDM waanza kutapatapa na kila walisemalo wanakosa kujiamini!huu uchaguzi kwakweli unazidi kuidhoofisha chadema!kama slaa angechuzika kugombea arumeru angepata aibu ya karne!chadema weupe!!!
CDM waanza kutapatapa na kila walisemalo wanakosa kujiamini!huu uchaguzi kwakweli unazidi kuidhoofisha chadema!kama slaa angechuzika kugombea arumeru angepata aibu ya karne!chadema weupe!!!
Jihesabuni nyie mnaodhani CDM inadhoofika (hapa ukumbini tu achana na eneo la tukio) - na uhesabu IDs zako na za wenzio zoooote kabisa halafu utuambie idadi yake. Then linganisha na idadi ya wale wenye kujishikia akili zao wenyewe, halafu tuambie. Now run!
so far,chadema wanafanya vizuri. Ni katika mambo mengi yahusuyo mustakbali ma taifa wameonesha umakini,ujasiri na pia uthubutu katika kuyapigania. In short, mtu huhitaji PhD kutambua mchango wa chadema kwa taifa, lkn pia huhitaji hata elimu ya msingi kutambua uchovu wa ccmCDM waanza kutapatapa na kila walisemalo wanakosa kujiamini!huu uchaguzi kwakweli unazidi kuidhoofisha chadema!kama slaa angechuzika kugombea arumeru angepata aibu ya karne!chadema weupe!!!
Hebu tuwekeeni link ya zile nyimbo tamu kama tuwamwage! tuwamwage wee mafis... tufanye ring tone kwenye cm zetu.
Ale swelo nyenye!