Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,449
- 283,761
na Chadema isha puruchuka na kalenga, tena isithubutu chalinze kwasababu ya unafiki na wizi wake.
Ukweli huwa hauzimwi kwa risasi na fitina...
CDM imeshakufa....
baada ya kumvua uanachama ndugu zitto , cdm iko salama sana , huyo dogo ni nyoka kuliko hata kobra unayemjua , hivi unajua ni kwanini wasaliti wenzake wamekimbilia ccm ? Umiza kichwa mjomba , hiyo laki unusu uliyopewa ndiyo inakudhalilisha namna hiyo !
uwe najina kyela wewe du! maajabu ya dunia haya, jitambue kijana achana na siasa za bendera fuata upepo.
Kinachonifurahisha kwa sasa yale maneno ya kuchukuwa dola 2015 yameisha,nafasi ya ZITTO ndani ya CDM inaonekana wazi,na kama umesoma ule WARAKA wa Dr. KITILA utakubalikabisa ule utafiti wa Kisayansi.
kama ni hivyo kwanini mnakesha jf kuisakama ? Mnahangaika nini na maiti ? Bado kidogo sana mtaelewa tunachomaanisha , endeleeni kuwamaliza wazazi wenu ili mrithi VYEO VYAO !
Ukweli huwa hauzimwi kwa risasi na fitina...
CDM imeshakufa....
Amekueleza pia kuwa ameomba msamaha akakataliwa? Au ni haya tu?
NACHUKUA NAFASI hii KUKUTANGAZIA KWAMBA 2015 NAGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KYELA , KWA LENGO MOJA TU LA KUING'OA CCM NA VIKARAGOSI VYAKE KAMA WEWE .
Inawezekana umetoka chumbani kwake sasa hivi unamuota mpaka barabarani!
Mjomba itathmini chadema baada ya zito.
usimezeshwe maneno bila kutafakari, zitto nii bora kuliko mbowe, slaa na lema. Hili hata wewe unajua ila unajilidhisha tu mkubwa.
Mjomba itathmini chadema baada ya zito.
usimezeshwe maneno bila kutafakari, zitto nii bora kuliko mbowe, slaa na lema. Hili hata wewe unajua ila unajilidhisha tu mkubwa.
Na maisha ukiyaendesha kwa kumtegemea mtu mmoja eti kwasababu ni maarufu siku akifa utapata tabu sana maana akili ulikuwa nayo siyo yako ni mtu. Simama mwenyewe sio mpaka mtu fulani awepo ndio mambo yaende,utakuwa -------- wa akili.
Kwa vichapo mfululizo ambavyo CHADEMA wanavipata bila shaka watakuwa wamegundua kuwa wamepoteza tunu ya chama ambae si mwingine ila ni Zitto.
Binafsi uwa sijiangaishi kumsikiliza mzee wa "kupigwa kabaang" yule vuvuzela wa Arusha, wala Msigwa ambae juzi juzi waumini wake wamemtuhumu kwa upotevu wa sadaka zao za uboreshaji wa kanisa ukiachana na wizi wa rambirambi ambao amemfanyia mama Mwangosi.
CHADEMA bila Zitto, haiwezekani.