nicholas saidi
Member
- Feb 9, 2014
- 12
- 1
hiyo picha alipaka mkorogo sikuhizi uso kama mamba hivi sijui cream yake ya awali imeisha
katiba hata iwe nzuri namna gani kama hamna viongozi wazuri ni bure tu.ili katiba mpya iwe na weledi lazima viongozi wenye upeo mkubwa kama zitto waandaliwe kuchukua madaraka.hivyo hata chadema lazima iwe na viongozi makini.kwa hiyo acha woga unaposikia jina la zitto likitajwa ni mwiba kwenu.watanzania wana matatizo mengi hawana muda wa kumjadili huyu kidampa tu,vichwa vyetu vinawaza katiba ambayo ni zaidi ya zito na cdm yake
mwenye akili timamu haambiwi ona. inawezekana kunaunachokiambulia ktk saccos hii CHADEMA.
Anamshabikia Luwassa siku hiziHivi wewe mbu rula bado upo hewani.