CHADEMA ni Imara zaidi kuliko CCM

CHADEMA ni Imara zaidi kuliko CCM

Wanachama hawakimbii wanahongwa na vyeo ccm!
Kwa hiyo mnataka Mbowe atoe hela yake mfukoni awahonge?
Watakaobaki chadema baada ya 2020 ni waumini wa kweli wa democrasia.

Bahati mbaya wengi walio ndani ya.ccm ni walinda tumbo zao tu!
Kwa hiyo shida ni kotekote!!!
 
Hata mimi niliwahi kuwa kama wewe kushabikia huo upuuzi.

Mwanaume akianza kuweka makazi sehemu anajenga kabisa au kununua mali isiyoweza kuhamishika kirahisi ila kwenu Chadema hata nyumba hamna na bado mnajidai chama kikuu cha upinzani.

Jengeni nyumba mnatia aibu.
Mkuu, unaweza kutaja ofisi ya ccm iliyojengwa na ccm kama ccm yenyewe?
 
Hata mimi niliwahi kuwa kama wewe kushabikia huo upuuzi.

Mwanaume akianza kuweka makazi sehemu anajenga kabisa au kununua mali isiyoweza kuhamishika kirahisi ila kwenu Chadema hata nyumba hamna na bado mnajidai chama kikuu cha upinzani.

Jengeni nyumba mnatia aibu.
Wewe mwenyewe pengine hata kibanda huna? Ni lini CCM walijenga ofisi yao wenyewe, wakati ni wananchi ndio walijenga ofifi hz?
 
Na nyie si mna wanachama wenu kwanini msijenge ofisi?

Mbona mnakuwa kama vile sio wajinga.
Wewe mwenyewe pengine hata kibanda huna? Ni lini CCM walijenga ofisi yao wenyewe, wakati ni wananchi ndio walijenga ofifi hz?
 
Hivi ni kwa nini hakuna TLP, CUF, CHAUSTA au JAHAZI - ASILI wanaohamia CCM kuunga mikono/maguu serikali?
 
Hvi kuna watu bado wanaimani na chadema.....duh hii inanikumbusha vita ya US Vs Japan kule kwenye visiwa vya pacific... japan ilikuwa inachezea kichapo kizito pote katk visiwa vya Philippine, midway, guadiucanal, Saipan, Iwo jima na Okinawa lakn bado Japanese walijitoa ufahamu wakijiaminisha kuwa wanaweza kushinda mwisho wa Siku walijikuta wanapoteza roho za askar na raia wapato 2.5ml....ndo yatakayoikuta chadema
Moyo wako mwembamba mnoo. Misukosuko si saizi yako.
 
Tulioshuhudia mapito ya NCCR ya Mkapa tunashuhudia the same thing kwa Chadema ya JPM...Tunachoshangaa ni majasiri kama nyie mnaoamini Chadema ni ile ile ....badala ya kushtuka na kuchukua hatua ....tuliomjua Lamwai hatukuamini siku moja atakwenda CCM ....
Tatizo lako umekariri sana,chadema ni wananchi sio hao unawataja wahistoria,wezanko wamenyimwa kufanya siasa bado wanapambana yet hutaki kuappreciate kama chadema kinakufa kwa niniccm wanalaazmisha ushindi,kama hujui chadema hakiwez kufa kama nccr,kwa sababu chadema ya sasa sio ya mbowe na lisu,imeshaasaamba katika damu is too late kuindoa
 
Tulioshuhudia mapito ya NCCR ya Mkapa tunashuhudia the same thing kwa Chadema ya JPM...Tunachoshangaa ni majasiri kama nyie mnaoamini Chadema ni ile ile ....badala ya kushtuka na kuchukua hatua ....tuliomjua Lamwai hatukuamini siku moja atakwenda CCM ....

Mfano, wachukue hatua gani sasa?

Kumwachicha Mbowe Freeman Aikael Uenyekiti Taifa?

If Yes, nani awe mwenyekiti? Wewe? Kwanini unadhani unastahili?

Utafanya kipi maalumu cha tofauti ambacho aliyepo/waliopo wameshindwa kufanya ku -rescue hii muitayo "worse situation" ama "kufa" kwa CHADEMA mkubwa?

Hebu funguka bhana, tukusome
 
Hata mimi niliwahi kuwa kama wewe kushabikia huo upuuzi.

Mwanaume akianza kuweka makazi sehemu anajenga kabisa au kununua mali isiyoweza kuhamishika kirahisi ila kwenu Chadema hata nyumba hamna na bado mnajidai chama kikuu cha upinzani.

Jengeni nyumba mnatia aibu.
Ccm mna nyumba ipi zote mlizonzo tulijenga wote wakati wa chama kimoja
 
Hata mimi niliwahi kuwa kama wewe kushabikia huo upuuzi.

Mwanaume akianza kuweka makazi sehemu anajenga kabisa au kununua mali isiyoweza kuhamishika kirahisi ila kwenu Chadema hata nyumba hamna na bado mnajidai chama kikuu cha upinzani.

Jengeni nyumba mnatia aibu.
Ni kweli kabisa ccm aka gambas bila tiss, jwtz na police ni zaifu kuliko tlp ya mrema.
 
Na nyie si mna wanachama wenu kwanini msijenge ofisi?

Mbona mnakuwa kama vile sio wajinga.
Kwani kuna kipengele cha sheria kwa msajili wa vyama kinacholazimisha chama kujenga ofisi? Uiwe mjinga wa kuchukua vitu vidogo vidogo na kuvifanya vikubwa mbugila mkubwa we
 
Back
Top Bottom