Kagemro
Platinum Member
- Jan 11, 2010
- 1,576
- 792
Really?Kuna siku niliuliza kama Mbowe anapaswa kuondoka kwenye nafasi yake ya Uenyekiti (itafika siku ataondoka tu) nani achukue nafasi yake. sijawahi kupata jibu. Lakini bado kila wakati likitoea jambo ndani ya CHADEMA lazima jina la Mbowe litajwe na kusemwa yanayotokea ni kwa kuwa yeye ni Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA.
Lakini uimara wa kitu hupimwa kutokana na mashambulizi ama majaribu inachokumbana nayo. CHADEMA tangu baada ya kujiuhisha (Rebranding) mwaka 2006 kimekuwa ni chama kinachopanda na kuoenesha uimara wa kupambana na matatizo yanayosababishwa na CCM pamoja na dola dhidi yake!
Kila likitokea jambo wapinzani wa CHADEMA hulifanya jambo hilo kama ni jipya na litaisambaratisha CHADEMA. Kama viongozi wa chama kutoka CHADEMA na kujiunga CCM wameshatoka hadi viongozi wa kitaifa na bado CHADEMA inasonga mbele.
Kwa ulinganifu CHADEMA ni chama Imara sana kuliko CCM kwa kuwa chenyewe kinafanya siasa bila ya kutegemea dola dhidi ya CCM ambayo bila ya kutegemea dola ni chama dhaifu sana kuliko hata TLP ya Mrema.
Good job