CHADEMA ni chama cha kumnyonya mwananchi

CCM inachukua pesa kutoka kwa matajiri mabilionea,
 
Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.

Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.

Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Hujui hata maana ya unyonyaji ati nawe ni great thinker?
Mbona huongelei unyonyaji wa ccm?
Unajua gharama za kulaza mgonjwa pale muhimbili ni shilingi 50 elfu kwa siku?
Je ni watanzania wangapi wana uwezo wa kulipa hiyo pesa? Wangapi wanakufa kwa kukosa pesa huku wabunge wa ccm wakilipwa mamilioni kwa kuitukia ndiyooo
 
Bora chedema wananchi wanachanga wenyewe CCM wanaiba kodi ya wananchi
 
Hujui hata maana ya unyonyaji ati nawe ni great thinker?
Mbona huongelei unyonyaji wa ccm?
Unajua gharama za kulaza mgonjwa pale muhimbili ni shilingi 50 elfu kwa siku?
Je ni watanzania wangapi wana uwezo wa kulipa hiyo pesa? Wangapi wanakufa kwa kukosa pesa huku wabunge wa ccm wakilipwa mamilioni kwa kuitukia ndiyooo
Leo nazungumzia unyonyaji wa CHADEMA chakavu
 
Zungumzia gharama za kulaza mgonjwa muhimbili ambazo ni elfu 50 kwa siku. Hizi gharama zina mazara ya moa kwa moja kwa wapiga kura kuliko hayo ya chadema ambayo hata uchaguzi haishiriki. Una akili timamu?
Unajua DC Wa ilala hapo anatembelea gari ya ml 350?
Huu siyo unyonyaji? Au hujui maana ya unyonyaji?
 
Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.

Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.

Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
viongoz wapya wote wa Chadema hawana ajira na wala hawajishughulishi na shughuli nyingine zozote za kujipatia kipato.

wapo wapo tu kama viongoz wa hubiri wanategemea sadaka za waamini wao kuishi 🐒
 
Na kama ufisadi Kila mwaka CAG anauweka hadharani, tume zinaundwa nyuma ya mikamera tena hadharani lakini majibu ya hizo tume nyuma ya pazia, mwaka unao fuata ufisadi unaendelea kuwepo tu, mna mchosha CAG, kikikiki

Tanza giza
Mpaka Kichere kaamua ajizeekee awe lizee kuliko hata mzee Wasira, kila mwaka ni yale yale. Kachoka mkurya wa watu.
 
Mleta mada ni mjinga yeye anaangalia mia mbili tunazochanga atwambie kwanza deni la taifa trillion 100 zimeenda wapi,tozo, mapato ya madini,utalii na madini zinazotumika kuwalipa COVID 19,g55 akina salimu mwalimu huu ugomvi mtuachie sisi wananchii muache kieleele mavi.
 
Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.

Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.

Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
 
Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.

Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.

Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Hao ni km wale manabii wa uwongo
 
Hawawazidi CCM wanao jilipa posho bungeni kwa kugawa ardi ya mtanganyika kwa wakoloni wa kwanza na wanapiga makofi , nchi ina wajinga sana hiii kuanzia juu hadi chini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom