CHADEMA ni chama cha kumnyonya mwananchi

Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.

Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.

Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
wewe ni mpumbavu chama kilicho nyonya wananchi miaka 60 na kuwaacha wakiwa hawana kitu ni CCM lakini hamsemi ila michango ya hiari ya mia 5 ya chadema ndio mnaleta kimdomo.

Kwa akili zenu hizi mtakuwa maskini mpaka mwisho wa Dunia.
 
Masikini na mpumbavu ni wewe unayeandamana mtatandaoni mkamtoe mwenyekiti wenu kwa maandamano kama kweli mnajua kukinukisha.
 
Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.

Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.

Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Tarehe 22 Dec 2014
PESA ZA ESCROW SI ZA UMMA,ASEMA RAISI KIKWETE 👉 haya majizi huyaoni
 
Naombeni namba ya tone tone nichangie

Kuliko kupoteza pesa kwenye betting bora niwape chadema
 
Wanachukua mifukoni kwa lazima? Au wananchi wanachanga wenyewe kwa hiari yao?
Hata watumishi wa mungu hawachukui mfukoni kwa lazima ila wanawaibia kwa imani na wamewa brainwash vichwani kama ambavyo wafuasi wa Lissu walivyokuwa brainwashed, huo ni wizi kabisa!
 
Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.

Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.

Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Acha hiyo mambo japo kuwa na uwezo wa kutofautisha nani nyonyaji wa mlalahoi mtanzania achana na wala kwa urefu wa kamba na machawa.Enzi hizi sii za kuwadanganya watu elimu zinatolewa zikishindwa za kayumba zipo zile za no reform no election nazo zina ondosha ujinga,upumbavu na umbumbumbu na hata uchawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom