Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 12,232
- 9,553
chama gani kinaandaa vurugu kila siku,
Ni chama cha CCM.
chama gani kinaandaa vurugu kila siku,
Ni kitendo ambacho siyo kizuri kwa vyama vya siasa kushindwa kuwapa fursa wanasiasa vijana kuweza kufanya kazi za siasa. Ni kitendo cha aibu na ambacho siyo cha kiungwana kwa chama cha siasa kikubwa kama chadema kuendelea kuwakandamiza na kuwanyima fulsa wanasiasa vijana kufanya kazi za siasa pengine ni kwa hofu ya nafasi zao walizonazo kwenye vyama wanavyoviongoza.
Mfano mzuri ni pamoja na Zitto Kabwe ambaye ameonesha ushujaa katika kujenga hoja mbalimbali, lakini kafanyiwa hujuma na baadhi ya viongozi ndani ya chadema. wengine ni Ally Bananga na John Millya ambao chadema iliwahamisha kutoka CCM kwenda chadema na kimeweza kuwatumia kwa mda mchache na badaye kuwadampo na sasa hata kusikika tu hawasikiki tena.
Pia mipango inaendelea kusukwa kumwegua Halima mdee asigombee tena jimbo la kawe badala yake agombee Josefine mshumbushi, ni tetesi ambazo zina ukweli ndani yake.
Wito wangu kwa wanasiasa ni vema vijana wakapewa nafasi kuliko kuwabania kwani siasa za leo siyo za wazee bali vijana wanahitajika kushika siasa za taifa hili.
By rub;tatizo lenu ccm hamna tena sera zenye mashiko mmebaki kuongea heti cdm wana vurugu kumbe nyunyi ndo tatizo,
Mkitaka kujua kwanba sera zenu hizo ni makelele kwa wananchi kwa sasa jaribu kufatilia mambo yanavyoenda sasa kuanzia chaguzi mmepiga makelele sana lakin cdm wanazidi kuwapokonya viti,angalia mikutano ya cdm sasa hivi watu wanajaa mpaka mnaona wivu na kuanza kupiga mabom bila sababu.
Ushauri kwenu ccm jipange kisera maana cdm wametoa elimu sana kwa raia ndo maana mbwembwe zenu hazina jipya tena.
Jiulize mnawambia raia waichukie cdm lakn ndo kwanza watu wanazidi kuikubali cdm mfano angalia mikutano ya cdm ni full nyomi na wanakuja kwa nauli zao sio nyie ccm mpaka mtoe usafir na posho ndo watu waje kwenye mikutano yenu.
unachekesha eti mikutano ya chadema watu wanajaa,uliona mkutano wa mnyika jana ubungo yenu bar kakosa watu mpaka kaenda kufanyia bar ni aibu halafu baadaye mnaweka picha za uongo.
nini ambacho hujui ben kuhusu zito, twambie ambacho hujui kuhusu shonza au umeanza kujifanya ntoto.
Hivi hoja gani hasa Zitto amejenga na wapi amekandamizwa? Kumshambulia mwenzake Mnyika kwenye suala la simu kwenye mitandao, wakati ana nafasi ya kumshauri bila kuweka kwenye mitandao ya kijamii? Hivi chamba chenye ratio ya wabunge wengi vijana ukilinganisha na wazee ni chamba gani?
nadhani hujaelewa au umeelewa ila unajifanya hujaelewa. kinachojadiliwa hapa ni jinsi CHADEMA kinavyoshindwa kuwatumia vijana potential na badala yake vyeo hupewa kwa kujuana na uchaga uchaga. ukiwa mchaga hata kama shule huna basi utapata hata kuwa mwenyekiti wa chama. wengine hata kama wana PHD so long si wachaga hao watakalia bench tu. unajua elimu ya John Mnyika na nafasi aliyonayo ndani ya chama?
picha ianaongea zaidi ya maneno kwa chama chako hiko sisiemusisi tunajadili wanasiasa vijana wanavyonyanyaswa ndani ya chadema wewe umekomaa na ccm rudi kwenye mada.
So mkuu una uchungu zaidi ya Zitto mwenyewe? Shonza ni wa chama kingine hivyo kumjadili ni kumpandishia PH asiyo stahili
Sijui unataka kusikia nini hasa.Kuandika huku bila facts ni kushusha credibility ya JF.Do you know what entails to be a GT?
kwanini uliagiza polisi watupige mabomu na risasi za moto?huu mwaka lazima ufe kwa pressure,muuaji mkubwa wewe
wewe unanijua mimi unapafahamu madeko na njenga? hiyo ndiyo mitaa yangu ukija uliza chinemba ili uache kujidanganya.
hoja siyo uchungu kwanza mimi ni mwanaume hivyo siwezi kuwa na uchungu,mantiki ni viongozi wa juu kutowapa nafasi vijana kufikisha mawazo yao hata kama yanaumhimu.
mnaoijadili chadema mnapoteza mda tu chama hakina mbele wala kitokako.
zito hata nafasi ya kuzungumza kwenye vikao vya chama hapewi hata majukumu yake kama nabu katibu mkuu kazuiwa kufanya badala yake kapewa mnyika azifanye,tatizo la chadema wale vijana wenye uwezo hubanwa na yale yasiyo kuwa na hoja yanayotumiwa na viongozi kama ngazi za kupandia ndiyo hupewa nafasi.