CHADEMA ni chama cha kisichothamini wanasiasa vijana

CHADEMA ni chama cha kisichothamini wanasiasa vijana

Rudini shule mkasome.....ujinga unawatesa!

Nakuunga mkono Mkuu. hivi unakumbuka nini kuhusu Deus Mallya na Ludovick Joseph Rwezaura? hawa jamaa CHADEMA imewatumia sana kwenye harakati zao lakini mwisho wa siku wamewatelekeza
 
Chadema ni nzuri kwa nje walio ndani wanatokota
 
ukitaka uwepo chadema kwa mda mrefu ukubari kila kitu toka kwa watawala usipinge chochote hata kama ni kibaya.
 
Chadema ni nzuri kwa nje walio ndani wanatokota

chadema uhuru wa mawazo haupo lazima uzingatie kila kitu anachotaka slaa au mbowe na mtei vinginevyo utakufa tena mchana kweupe.
 
sasa kwa nini umecomment! CDM inawanyima usingizi eeeh
 
kweli mimi chinemba au ulifikili mimi ni nyika mbunge wenu fyatu wa ubungo.

CHINEMBA NAONA UMEJIPUMZISHA hapa, hahaaaaaah Mwigulu anawafuja bila kujua , poleni.



554590_568735119835725_799561680_n.jpg
 
Sijaona chama kinachoongozwa na vijana kama chadema, huu ni uzushi, Allah akutoe kwenye maswahibu ya uzushi na majungu!
 
Taja viongozi wazee chadema wawili..??.maana wakati mwingine tuulizane maswali madogo madogo kabla ya kuongea mambo makubwa....
 
Sijui unataka kusikia nini hasa.Kuandika huku bila facts ni kushusha credibility ya JF.Do you know what entails to be a GT?

Mkuu kuchangia uzi kama huu ni kujishushia hadhi mkuu huyu anatakiwa aende kule facebook kwa watoto wenzake akatoe uzi kama huu !!!
 
ukitaka uwepo chadema kwa mda mrefu ukubari kila kitu toka kwa watawala usipinge chochote hata kama ni kibaya.

Hata kujitambua kwa yanayofanyika CCM kwako ni Njia panda badala yake mnakimbilia kunyooshea vidole wengine. Nani anaubavu wa kupinga mawazo ya Vigogo wenu CCM
ikiwa hata kugombea tu nafasi za juu kushindana nao ni dhambi? Jimbueni kwanza hukohuko kwenu!
 
Back
Top Bottom