CHADEMA ngoma mbichi Arusha

CHADEMA ngoma mbichi Arusha

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,200
Mtafaruku wa kisiasa ndani ya CDM halmashauri ya manispaa ya ARUSHA unazidi kuendelea. Madiwani waliofukuzwa na CDM wameandaa kikao jioni ya leo mjini Arusha kwa lengo la kuwapa wananchi hali halisi kuhusiana na sakata zima la CDM hapo A town.

Tunaomba kwa mwenyezi mungu, sakata la CDM liishe salama ili chama kizidi kuchanja mbuga na kushiriki vizuri mchuano wa IGUNGA wasije kupata kisingizio watapopata kipigo cha mbwa mwizi jimboni IGUNGA wasije na kisinngizio cha mtafaruku wa A town.
 
Mafilili

Ngoma imekwisha hiyo,tutaonana Igunga,ila msichakachue
 
wanahangaika bure hao.. Habari yao ndo ishaisha kiulaini kabisaaaa! Waendelee kupoteza muda manake hata hvyo hawana tena kazi ya kufanya!..
 
Shughuli ya Arusha ni nzito, CDM hawawezi kutetea viti vyote hivyo. Madiwani walichagliwa kw anguvu ya Umma, leo wanatolewa kwa nguvu ya CDM CC.
 
Shughuli ya Arusha ni nzito, CDM hawawezi kutetea viti vyote hivyo. Madiwani walichagliwa kw anguvu ya Umma, leo wanatolewa kwa nguvu ya CDM CC.
Ni wewe wasema! Tuliwachagua kwa kudhani ni watu kumbe ni viatu! Subiri uchaguzi ufanyike ndo utaelewa maana yake!
 
Ngoma bado mbichi kabisa subiri utasikia mwenyewe.
Tutasikia nini naona umeamua kujiridhisha kwa njia hii pole sana, hiyo ndiyo imetoka kosa walilofanya ni kukataa kujiuzulu wangejiuzulu vyeo wakabaki na uanachama then wangesumbua kidogo hata mahakama ingewasikiliza lakini sasa wako nje ni sawa na samaki ana nguvu majini akitoka atafurukuta dk mbili baadae atakufa ni kama wanavyofanya hao wenzako acha wavute pumzi ya mwisho.
 
HTML:
Shughuli ya Arusha ni nzito, CDM hawawezi kutetea viti vyote hivyo. Madiwani walichagliwa kw anguvu ya Umma, leo wanatolewa kwa nguvu ya CDM CC.

Hivi lengo la CDM ni kutetea viti?
Labda tumuombe Dr. Slaa aje humu atufafanulie, na kama lengo ni hilo am out.
 
Sitaki kusema jambo ambalo madiwani hao kesho watatangaza juu ya hatima ya Chadema Aarusha! Chadema kazi mnayo arusha kama mlitumia akili ya kombati kwa jambo hili mtajutiaaaaa! Subirini kesho news kutoka A town!
 
TUNA IMANI NA WAKAZI WA ARUSHA

wakazi wa arusha ni waerevu na wenye kujua kutofautisha kati jema na baya. tuwape muda tuwaone watakavyo fanya uamuzi wa busara.
hao Jamaa zetu vibaraka wanajaribu kutapatapa baada kushindwa kufanya kile wakazi walichowatuma kupitia kuchaguliwa kwao kuwa madiwani...

Lazima wajiulize nafsini mwao chini ya mwaka wamekuwa watovu wa nidhamu, je ni lipi ambalo wao litawarudisha kwa wananchi ktk kata zao...?
Hamna jipya zaidi ya kutapatapa na kufa kifo cha mende. wangekuwa hawakutendewa haki, wananchi wangefahamu ukweli wote khs hilo.

waheshimu maamuzi ya CC CDM. walipewa muda, team ilipelekwa Arusha na taaratibu zote zilifuatwa.
Nidhamu ktk maisha ndiyo siri ya mafanikio..., na huwa inatakiwa ianze kwako binafsi n then kw wengine!

Tutafika tuu lazima kukaza buti.
 
Sitaki kusema jambo ambalo madiwani hao kesho watatangaza juu ya hatima ya Chadema Aarusha! Chadema kazi mnayo arusha kama mlitumia akili ya kombati kwa jambo hili mtajutiaaaaa! Subirini kesho news kutoka A town!
Hawana jipya!
 
Shughuli ya Arusha ni nzito, CDM hawawezi kutetea viti vyote hivyo. Madiwani walichagliwa kw anguvu ya Umma, leo wanatolewa kwa nguvu ya CDM CC.
Arusha watu sio wajinga kama unavyo fikiri ngoja wenyewe CC CDM waje wawaeleze wananchi ni kwa nini waliamua kuwafukuza uanachama hao mafisadi! Hatuwezi kuendelea kufuga mafisadi eti kwa sababu tunaogopa CCM, hizo fedha walizopewa ndio mwisho wao!!
CDM ni corruption freezone!
 
Ngoja waumane mpaka kieleweke!Hapa magamba wajipange kwani wao angalau wanadola inaweza saidia kuwakabili hawa 2 twins.Nadhani CCM/dola inaweza kutumia sheria ya kizuizini hasa kumkabili huyu kimeta wa Monduli maake ndio tishio hadi sasa.
 
Arusha watu sio wajinga kama unavyo fikiri ngoja wenyewe CC CDM waje wawaeleze wananchi ni kwa nini waliamua kuwafukuza uanachama hao mafisadi!!!!!!!!!!! Hatuwezi kuendelea kufuga mafisadi eti kwa sababu tunaogopa CCM, hizo fedha walizopewa ndio mwisho wao!!!!!!!!!!
CDM ni corruption freezone!!!!!!!!!!
Thanx!
 
Mtafaruku wa kisiasa ndani ya CDM halmashauri ya manispaa ya ARUSHA unazidi kuendelea. Madiwani waliofukuzwa na CDM wameandaa kikao jioni ya leo mjini Arusha kwa lengo la kuwapa wananchi hali halisi kuhusiana na sakata zima la CDM hapo A town. Tunaomba kwa mwenyezi mungu, sakata la CDM liishe salama ili chama kizidi kuchanja mbuga na kushiriki vizuri mchuano wa IGUNGA wasije kupata kisingizio watapopata kipigo cha mbwa mwizi jimboni IGUNGA wasije na kisinngizio cha mtafaruku wa A town.
Source? au ni Garden Bar maana najua hawana platform tena.
 
Madiwani wafa maji hao, hawaishi kutapatapa... Machalii A-TOWN wazomeeni hao wasaliti
 
Ingekuwa ni upuuzi kwa namana yeyote ...kuwakubali na kuwa nyeyekea madiwani kwa namna mambo yalivyokuwa...

NIDHAMU NA UWAIBIKAJI ...ni muhimu ...lazima wafukuzwe na wafukuzwe waende mbali kabisa.... MATOKEO YOTE TUTAYAPOKEA!!

Bora kutokee kitakachotokea kuliko kuanza kunyeyekeaana na kukubali vitisho .... vya aina hiyo ndani ya chama.

Hiyo haiatkuwa na HESHIMA WALA NIDHAMU yeyote sasa na siku zijazo. Lazima kukubali uamuzi hata chamamkivunjieke ...lakini kivunjike kwa heshima.

Kuogopa kupoteza mtu au kikundi cha watu ...kwani Chama kitavunjika ...ni Ujinga ...ujinga na udhaifu wa hali ya juu ..ule ambao umifikisha CCM na taifa hapa lililopo..Lina sambaratika kwa kuogopana na kupigiana magoti...!

Ujinga unaofanywa na vijikampeni vya kitoto vya KUVUANA MAGAMBA kwa woga na kutetemekeakea kule CCM ..IWE NI MWIKO ..

...NDIO IWE NI MWIKO CHADEMA ....NA HESHIMA YA CHADEMA IWE HIYO ..CHAMA KIBAKI AU KISIBAKI ..HATUTAKI MAMBO YA KIJINGA KAMA YA KUVUANA GAMBA...kwa udhaifu wa kutia Aibu chama na Taifa la Tanzania.

DO WHAT MUST BE DONE ...DO THE IMPOSSIBLE...TAKE WHATAEVER THE CONSIQUECESES! ..AND GOD BLESS IT..!!!

Hiiki ndicho kinakosekana nchini..hakuna ujasiri, ushujaa wenye upendo wa maamuzi mazito ulioshehini nidhamu na uwajibikaji!!

Hilo haliwezi kukwepa ili kurudisha heshima ya nchi na waasisi wake!
 
Back
Top Bottom