Chadema next move....should be educating people via Tv

Eng. D

Member
Jul 13, 2011
31
6
km mtanzania wa kawaida ambaye nilipata fursa ya elimu nina uwezo mkubwa wa kutatua matatizo na hasa vikwazo vilivyo mbele yangu, CHADEMA km chama kw ufahamu wangu mdogo ina uwezo mara dufu lakini ktk hili nina mashaka sana mi ningekuwa chama ningefanya hivi:

Mikutano ikizuiliwa --------------------------------------nenda kwenye TV/Radio(target 65% of population)
Magazeti yakizuiliwa ---------------------------------Andaaa vipeperushi/mabango( target 30% of population)

Keep friends close and enemies closer.
 
Mkubwa tatito hizo TV vijijini zinafika saa ngapi? wakitumia TV basi watu wa mjini tu ndo watapata elimu vijijini itakuwa kweupe... na ndo sisiemu inatumia fursa hiyo ya vijijini kujishindia chaguzi zetu kutumia mabalozi wake wa nyumba kumi.... Inahitajika mbinu zaidi ya hiyo, makamanda wa chadema watawanyike sehemu mbalimbali tanzania wapite kijiji hadi kijiji kuwapasha wananchi, nadhani hiyo ndo njia bora
 
Songíto;2875505 said:

Nakuunga mkono mkuu. Mambo ya redio/TV yako mjini tu na 10% vijijini. Magazeti ndo usiseme kabisa hata 2% vijijini huyapata baada ya mwezi kupita. Si unajua watanzania walio na umeme ni 10% tu ya watu wote Tanzania.
 
Back
Top Bottom