intelijensia ya chadema iko makini sana ndo maana yote yalitabiliwa yametimia
ccm walitaka zito awe mwenyekiti wa Cdm
Chadema ni chama makini sana kinafuata katiba kanuni na sheria walizojiwekea bila upendeleo wowote wa kuangalia nyadhifa ya mtu au kiongozi yeyote ndani ya chama
ukiwa mwanachama wa chadema lzm ufuate katiba kanuni na sheria
mwalimu nyerere alipata kusema kiongozi yeyote lzm afuate katiba ya nchi na ndio maana kiongozi yeyote ataapisha kwa katiba
Mbowe ni bonge la kamanda.
nilishawah kusikia kastori flani hivi mtaan kuwa mbowe ni mtoto wa nyerere.stor hiz ni za kwel ukihusianisha na harakati zake?