CHADEMA ndani ya Sumbawanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA ndani ya Sumbawanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpui Lyazumbi, May 9, 2011.

 1. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,826
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Wakuu, hawa jamaa nilikuwa nawasikia na kuwaona tu kwenye media. Nawashuhudia hapa Sumbawanga, maandamano yamefunga barabara the entire 3km to katikati ya mji. Siyo siri, mimi napata picha mpya kabisa na wasifikiriwe kuwa bado ni chama kidogodogo. Wanasupport ya dhati kutoka kwa wananchi tena walioacha shughuli zao kuja kuwasikiliza. Stay tuned!
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mpui Lyazumbi

  wewe pia ni mmojawapo wa wanaharakati wa mabadiliko ya maendeleo ya taifa letu ....

  asante kwa kuwa na ujasiri wa kutujuza kilichojiri live... endelea mkuu
   
 3. w

  werewe Senior Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  big up cdm
   
 4. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,879
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Tunashukuru kwa taarifa.kama unawezza kuweka picha fanya hivo.tunawasubiri huku songea.kama simu yako haina uwezo wa kuchukua picha basi tupe kinachaojiri zaidi
   
 5. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo wameshaingia mkoa wa Rukwa siyo?

  I love kitengo cha mawasiliano cha Chadema!
   
 6. h

  hans79 JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Tu pamoja ila picha muhimu kama uwezekano upo.
   
 7. Mvuni

  Mvuni JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante kwa taarifa njema. Kwa kuwa mkuu uko live kwenye tukio hebu tupe uhondo wa picha.
   
 8. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha urongo wewe!! chama cha msimu (ccm) hicho.
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,752
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  mkuu tupe habari zaidi!
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145

  Wenzao wako Dodoma kwenye semina elekezi juu ya kutoa habari za 'mafanikio' huku wakifuahia vitafunwa
   
 11. f

  findu fiki JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli Wafipa sasa wameamuka usingizini wanataka mabadiliko.
   
 12. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thanx mwana peoples' power
   
 13. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,025
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  go cdm gooooooo..
   
 14. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,648
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  Safi kabisa.
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Aksante kwa taarifa kiongozi wetu,
  Endelea kutuletea mpya- via mobile!
   
 16. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,214
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Thanks kwa taarifa mkuu!
   
 17. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 891
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  tupe lista ya makamanda wanapanda kukwaani!
   
 18. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,728
  Likes Received: 984
  Trophy Points: 280
  MPUI HII NI MESEJI YA Tundu A. Lisu anatumia LAT
   
 19. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Tunasubiri
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,535
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu ila usishangae watu wakikuomba picha manake nimegundua wanadamu hawaamini wakiambiwa hadi waone. CDM ni chama makini mkuu ushindi walishashinda sema ti NEC iliamua kumtangaza mtu wao!
   
Loading...