vyote itakavyokuwa, ashinde Mbowe au Lisu, taswira ya CDM kama chama cha upinzani imechafuka kwa kiwango cha kuwakatisha tamaa wanachama na wafuasi wake. Wengi wetu tuliweka matumaini yetu kwa CDM kama chama chenye nia ya dhati ya kumkomboa Mtz kuondoka na madhila ya watawala waovu (kakistocrcy). Ninapotafakari yanayojiri ndani ya CDM, na nikilinganisha na ODM ya Raila huko Kenya, ninafikia hitimisho moja: Mfumo wa demokrasia wa kimagharibi haufai Afrika, na kwamba kwa hali ilivyo, Tz inahitaji Traore wake.Mtu pekee anayeweza kuipigania Tanganyika ni lisu,ninawaomba Sana wajumbe twende na lisu
Kama kuna makubaliano ya kugawana mapato hapo baadae, kuna shida gani? Na ukizingatia unazo kwa sasa, ni uwekezaji!Wewe ukiambiwa uikopeshe kampuni unayofanyia kaz mil 50 utarudishiwa utakubali?
Talking is easy...
Angezaliwa family ya kitajiri asingeajiriwa BoT kama mgambo tofauti na Dr Mwigullu PhD aliyeajiriwa kama mchumi au Vicky Kamata Afisa Uhusiank ππππNdipo mbaposhindwa kujua kuwa Mbowe ni mzaliwa wa familia ya kitajiri na hufanya mambo mengi kwa kujitolea na mara nyingi hutumia resources zake binafsi. Mbowe family inamiliki biashara nyingi zikiwemo hotels na estates kama hujui.
Malezo ya Lissu ni kuwa, Mbowe alikuwa anakopa kupata fedha za kiugharamia kampeni(chopa,n.k) kisha chama kikipokea ruzuku, kinalipa hilo deni.Ndipo mbaposhindwa kujua kuwa Mbowe ni mzaliwa wa familia ya kitajiri na hufanya mambo mengi kwa kujitolea na mara nyingi hutumia resources zake binafsi. Mbowe family inamiliki biashara nyingi zikiwemo hotels na estates kama hujui.
Nani anaweza kufanya hivyo ccm?Malezo ya Lissu ni kuwa, Mbowe alikuwa anakopa kupata fedha za kiugharamia kampeni(chopa,n.k) kisha chama kikipokea ruzuku, kinalipa hilo deni.
Umepata wapi uongo huu?Angezaliwa family ya kitajiri asingeajiriwa BoT kama mgambo tofauti na Dr Mwigullu PhD aliyeajiriwa kama mchumi au Vicky Kamata Afisa Uhusiank ππππ
Merry Christmas πΉ
Nilikuwa nagonga crown beer pale Kilimanjaro na Freeman nikimuona na kirungu anarandaranda pale bank πUmepata wapi uongo huu?
Wale wanaofikiri kuwa Mbowe kafuata pesa CDM hawajui wanaongea nini, Mbowe amekuja kupoteza pesa nyingi CDM angekuwa tajiri zaidi kama asingekuja fanyaHoja yako nini hapa Mkuu!
Mmedanganyika.Nilikuwa nagonga crown beer pale Kilimanjaro na Freeman nikimuona na kirungu anarandaranda pale bank π
Haya mambo kwako ni Hadithi wahenga akina Pascal na Mrangi ova ndio wanaelewa
Mbowe alikuwa anapata 10% ya malipo ya hayo madeni?Malezo ya Lissu ni kuwa, Mbowe alikuwa anakopa kupata fedha za kiugharamia kampeni(chopa,n.k) kisha chama kikipokea ruzuku, kinalipa hilo deni.
Wewe huko migombani ndio unajidanganyaWale wanaofikiri kuwa Mbowe kafuata pesa CDM hawajui wanaongea nini, Mbowe amekuja kupoteza pesa nyingi CDM angekuwa tajiri zaidi kama asingekuja fanya
Mmedanganyika.