Elections 2010 CHADEMA nani kawaroga?

wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana,
<br />
<br />

Kaitaba, olinya akwete akashanju ka CCM - W. Mukama yagamba ati taliyo kushobokelwana Arusha, ti CCM ti CDM.
Pinda na amadiwani agotubingile nyeigolo mbazana akajaga.
 
kaka pole sana, yaliyofanywa na chadema ni mfano wa kuigwa na vyama vyote, hayo ndio lowasa(maneno yake tu ) alimaanisha aliposema kuhusu serikali yake ya ccm kufanya maamuzi magumu, haijalishi chama kitaathiliwa kwa kiasi gani, lazima maslahi.

Ya taifa yazingatiwe, wel done chadema bado shibuda.
 
wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana,

CHADEMA inaongozwa kwa misingi ya kanuni na kikatiba, ukivunja katiba unatupwa out.

Kuwatimua wanaovunja katiba ni kukusanya nguvu na imani kwa wananchi.
 
Lugha za kisiasa ni malumbano ya hoja na si hoja za malumbano. Ukitumia lugha yoyote ya matusi kuonyesha upande wa CDM...Unawakilisha nini kwa jamii ya watanzania.?

CDM Si chama cha mateja na wavutabangi...mnaotumia lugha za matusi hamna upeo kisiasa na hatutafika popote..threads hizi zinasomwa na watanzania wote dunia nzima..chama cha wastaarabu na wasomi matusi siyo siasa..Au mamluki?
 
wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana,

Usihofu mkulu.....hayo ndiyo tunayoyaita maamuzi magumu......usiogope kupungua kwa idadi ya madiwani.....ni bora kuwa na madiwani wachache wenye ubora katika kufuata kanuni na sheria za chama....kuliko kuwa na idadi kubwa ambayo haina ubora......hata Mungu wakati anaharibu sodoma na gomora hakuangalia uwingi wa watu ambo ataangamiza.....bali alizingatia ubora wa watu ambao wataokoka na uharibifu.....hivyo ni bora kuwa na vitu vichache bora kuliko kuwa na kundi la vitu ambavyo havina ubora.....

Na hili la chadema la kuwaondoa katika chama watu wanaokuwa dhidi ya sheria na kanuni lingefanyika serikalini.....tusingekuwa tunalia kwa kiasi hiki na akina Jairo, chenge n.k. maana hawa wangekuwa wameenguliwa zamani na kuleta nidhamu katika utendaji.....hivi sasa serikalini kila mtu anafanya lile ambalo analiona linafaa machoni pake liwe linafuata sheria au la.
 
Lugha za kisiasa ni malumbano ya hoja na si hoja za malumbano. Ukitumia lugha yoyote ya matusi kuonyesha upande wa CDM...Unawakilisha nini kwa jamii ya watanzania.? CDM Si chama cha mateja na wavutabangi...mnaotumia lugha za matusi hamna upeo kisiasa na hatutafika popote..threads hizi zinasomwa na watanzania wote dunia nzima..chama cha wastaarabu na wasomi matusi siyo siasa..Au mamluki?

kitufe cha 'like' kimepotea , ila thanks mkuu , hili swala linaboa ki ukweli na inaikijengea taswira mbaya chama
wapenzi wa CHADEMA tujifunze kuwa wavumulivu na kukosoa hoja wakati mtu akija na hoja kinzani
 
wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana,

..Hiyo bidhaa tangu Bob Makani akae pembeni imekuwa adimu sana mitaa ya kinondoni! na kama ipo basi ni ya mgao mkali sana na nahisi kwa wakati huu yule kijana wa Ubungo ndio zamu yake!!
 
Back
Top Bottom