CHADEMA naichukia kutoka moyoni

CHADEMA naichukia kutoka moyoni

Nani kakuambia mimi chadema, Kumbe na wawe NYANI pia. Am too busy kuwa mfuasi wa chama chochote. Mauchawi na mauongo ntayaweza wapi? Making money is more important to me. Wewe KIMA endelea kua mfuasi wa wala pesa. Huo ndio UKIMA







exellent! give em middle finger
 
Sio vizuri kupendi wapinzani wawili kwa wakati mmoja so ni wajibu wako na ni lazima uliweke wazi hilo!!!
 
C bure yawezekana mwana m4c mmoja amezaa na mkeo ndo maana unaichukia sn.
 
Pole sana, naona Mola anakuita, nenda tu akulaze mahali pachakavu kama ulivyochakaa. Ukome, CHADEMA mwendo mdundo, ni zaidi ya moto vichaa kama wewe hawawezi kuuota hata kama ni kwa mbali.
 
Kama unachukia CDM Bado wewe ni fisadi, mwizi, jangili, muuza madawa, dhulumati, ni mtoto wa mafisadi!!!
 
AGONGWE upo sahihi. hulazimishwi kumpenda mwanamke ambae mwenzako kalizika nae.kila mtu anauhuru wakupenda chama akipendacho.tatizo lako huja sema sababu za kuichukia cdm.
 
Mi nawashangaa sana watu wanaovichukia vyama vya upinzani ili nchi iendelee lazima viwepo hivi kusingekuwa na vyama vya kuitia ccm jambajamba maendeleo unayoyaona leo yasingekuwepo vyama vya upinzani vinaleta changamoto watu wanataka mabadiliko ikitokea chama kingne kikichaguliwa na kikashindwa kutekeleza matakwa ya wananchi basi watachagua kingine co kila siku chama hicho hicho tu mbona nchi zilizoendelea kama Marekani wanaingia madarakani viongozi wa vyama mbalimbali
 
chuo cha ajabu Tz kuwahi tokea
'Wanajamii nasikia kuna chuo kikuu hapa nchini kwetu ambacho kina systm kama seminary school' naomba kukijua ili nimpeleke mwanangu mwakani hii inatokana na viuo vikuu vimekuwa madangulo.
 
Kama mashabiki wa mpira tu huyu yanga yule simba huyu man u yule arsenal
 
Mtoa mada atazaa 2015 na hazimtoshi huwezi kuchukia kitu bila sababu.
 
ukweli toka ndani ya mtima wangu naichukia chadema vibaya sana sijui tu.:shut-mouth:
Wakati WEWE BINAFSI unaichukia Chadema MOYONI mwako, SISI tunaipenda CHADEMA "MIYOYONI MWETU" na KUICHUKIA CCM Miyoyoni mwetu na NAFSINI mwetu!! Tupo wengi milioni kadhaa na TUMEPAGAWA na CDM kwa dhati kabisa!!
 
Back
Top Bottom