CHADEMA naichukia kutoka moyoni

CHADEMA naichukia kutoka moyoni

Kisa tembo ndo uichukie chadema tunataka vizazi vya wajukuu wetu wakute tembe ila kiongozi wenu anavyopambana sijui
 
ukweli toka ndani ya mtima wangu naichukia chadema vibaya sana sijui tu.:shut-mouth:

Yeyote anaetangaza hadharani kuichukia CDM anatafuta umaarufu..Na wewe ni mmoja wao..:thumbdown:
 
ukweli toka ndani ya mtima wangu naichukia chadema vibaya sana sijui tu.:shut-mouth:

INABIDI UKAANGALIE STATUS YAKO YA PREGNANCE YAWEZEKANA WEWE UNA MIMBa, KWANI TABIA IZI ZA CHUKI BILA SABABU NI ZA WALOTIWA MIMBA TENA MIMBA CHANGA
 
Mtoa uzi labda baba yake pia ni mmoja kati ya waliopora nyumba za serikali Masaki na O'bay, maana Chadema tunampango wa kuzirudisha serikalini tukiingia mdarakani, so lazma uchukie chama cha sera za hivi!!
 
ukweli toka ndani ya mtima wangu naichukia chadema vibaya sana sijui tu.:shut-mouth:

wewe unaeichukia chadema naona uanaipenda ccm, unapenda ufisadi, wizi,uuwaji...we sio mtanzania, ni mrundi au mnyarwanda
 
ukweli toka ndani ya mtima wangu naichukia chadema vibaya sana sijui tu.:shut-mouth:

Usikichukie chama ila kuna watu wachache wanaokichafulia taswira yake ktk jamii hasa Lema, Mr zero, Babu Slaa, Sugu.
 
Aghaaa hata sie tunaichukia bana sababu tunazo na nia tunazo :doh:
 
Mavi yenu kwa iyo wote mngekuwa nazo nyumba huko masaki mngekuwa ccm haya ndio yalee ya darasa la 7
Mtoa uzi labda baba yake pia ni mmoja kati ya waliopora nyumba za serikali Masaki na O'bay, maana Chadema tunampango wa kuzirudisha serikalini tukiingia mdarakani, so lazma uchukie chama cha sera za hivi!!
 
ukweli toka ndani ya mtima wangu naichukia chadema vibaya sana sijui tu.:shut-mouth:
Kuchukia ni ugonjwa mbaya sana kwani ukisikia jina la unayemchukia adrenalin hupanda ambayo nayo husababisha pressure kupanda, mapigo ya moyo huongezeka kwa nini yote haya uruhusu kukutokea? jibu rahisi ni kujaribu kuwaelewa kwa nini wanafanya hivyo? Hivi tembo unaweza kumnasa kwa ulimbo?? hivyo basi, strategy plan yao ni hiyo na wao wanaona inawasaidia kukubalika ndani ya jamii. Hivyo sioni ubaya wowote ili mradii hawafunji sheria na hiyo haki yao isiingiliane na haki ya wengine.
 
Kwan huyu ndiyo nani, naona anafanana na jiran yangu mmoja hapa mtaani ambaye ni mnywa mataptap maarufu. Nae huvaaga nguo ka hizi!

chadema ni chama wahuni ona post za matus hao ni wafuas bado viongozi wao na sura zao za kitapelitapeli:bange::bange:wananuka moshi wa BANGE
 
ukweli toka ndani ya mtima wangu naichukia chadema vibaya sana sijui tu.:shut-mouth:

utaichukia cdm kwa sbb ya ujinga wako wenzio saizi tumetoka kwenye mkutano wa chadema saizi we hangaika na liccm laki.
 
mkuu mbakka wewe umetoka huko kwa shida zako mimi sijasema niko ccm umepoteza miwani? wale wezi waliokimbia ccm ndio wanaofadhili chadema
 
ukweli toka ndani ya mtima wangu naichukia chadema vibaya sana sijui tu.:shut-mouth:

So what, chuki yako haina athari ya maana kwa M4C, hata hivyo inawezekana moyo wako una matobo kutokana na tindikali inayomiminika mwilini mwako kwa sababu ya chuki isiyo na msingi!
 
Back
Top Bottom