ukweli toka ndani ya mtima wangu naichukia chadema vibaya sana sijui tu.:shut-mouth:
najuuta kukufahamu ccm
ccm are you serious!!!DA! .Hata samaki waliooza wanaletwa nchini kutokea china.!!!
ccm unamaanisha au kuna watu wanakusingizia??..unatuletea kansa hadi nchini ccm!!
ccm samaki wanapita,hata kupitia tbs kuangalia viwango imekushinda??
ccm una mpango gani na afya za watanzania??..au kwa vile wafuasi wako wana tiketi za kwenda INDIA????
ccm kwa uzuzu huu tutafiak kweli,au unataka wachina wawe wapishi majumbani MWETU?
ccm umeshindwa kujitambua kuhusu haki za msingi za raia wako ni pamoja na huduma nzuri za afya haswa tulavyo!
ccm unajua nyerere angeamka leo,atembee kule kariakoo kwa jinsi wachina walivyochafua soko angekushangaa sana!!!ujamaa uko wapi ccm,uzalendo uko wapi ccm,au ndo chukua chako mapema??
ccm unajua umri wako hauendani na matendo uyafanyayo,au kuna mkono wa mtu babu letu?
ccm ungefikiri vema watanzania tusingekuwa hapa tulipo kiuchumi na katika nyanja ya elimu!!!
ccm ungekuwa msikivu na kufuatilia mambo muhimu wakupayo wadau wa maendeleo tungekuwa mbali sana.
ccm ungejitambua wenzako kenya,uganda ,rwanda na burundi wasinge sepa na kukuacha unaduaa mjini!!!
ccm usingeendekeza mafisadi wakakukalia kichwani,usinggebaki na agenda moja kila kona(amani,amani,amani)!
ccm tunashindwa kujua tukuweke kundi gani ,tukikulinganisha na mwenzako KANU n.k...hatupati dampo special kwa ajili yako.
ccm mchina amekupaka nini,mbona vitalu vya gesi hawapewi wazawa?,mbona hakuna mgodi wowote upo mikononi mwa wazawa?,kwa nini mpaka samaki watoke kwa wachina,inafika kipindi hadi ngoma zetu za asili zitachezwa na wachina au?.......
ccm umemeza nini,unakumbatia ukoloni mamboleo kuliko wenzako wote EAST AFRICA?
CCM mbona huambiliki?...hata kutoa karipio kwa wavunja sheria waziwazi limekushinda?!!
ccm acha dharau,
ccm acha kiburi,
ccm tafuta washauri wakukupa mbinu mbadala kiuchumi,kisiasa,kijamii na kitamaduni kwa kitamaduni kwa sababu tuyaonayo sii utamaduni wetu ccm,ccm unahitaji mpango mkakati kujitambua kabla ya dead line .
unaichukia,kwa sababu hupati usingizi,meza priton formula ni 2x3 badala ya 1x3...lile ule ufisadi wako utajulikana tu.
najuuta kukufahamu ccm