WanaJF,
Kuna maazimio yalifikiwa bungeni kuwa, vyama vyote vya siasa vitakavyopata fursa ya kuteua wabunge wa viti maalum, vitoe pia nafasi kwa walemavu katika nafasi hizo za viti maalum ili nao wapate uwakilishi wao bungeni.
CCM imefanya hivyo kwa kuteua albino mmoja na kana kwamba hiyo haitoshi, rais Dkt Magufuli akamfanya naibu waziri. Hivyo CCM imetimiza ahadi iliyowekwa katika maazimio ya bunge.
Je, ndugu zetu CHADEMA, albino wenu yuko wapi? Maana ni nyinyi ndio mlijifanya kutetea haki za walemavu, kuwa wana haki ya kuingia bungeni, iweje nafasi zote mlizokuwa nazo za viti maalum hamkutenga hata moja tu kwa ajili ya mlemavu!?
Taifa litawaamini vipi CHADEMA!? Hii tabia ya ukigeugeu na ndimi mbili itawagharimu milele.