CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

Hilo gazeti nila kufungia vitumbua hakunaga hiyo hatuwezi kutafuta suluhu nawasaliti mtoa mada kajipange upya huo umbea peleka kwenye udaku weweeeee
 
Magazeti mengine yakiandika habari za kweli yanafungiwa, lakini magazeti mengine hata yakiandika habari ya uongo kiasi gani sawa tu na yanaendelea kuwapo, labda niwaulize wanasheria tufanyeje kuhusu hili?
Mmeishiwa hoja. Wafu nyie
 
habar zenu wana jamvi... Ni mda mrefu sana mwana siasa machachali zitto kabwe zuberi amekuwa na mgogoro na chama chake cha chadema ambacho kilifikia na kumvua nyadhifa zake zote ndani ya chama. Pamoja na hayo mambo mengi alihusishwa nayo kama vile usaliti, na huku akishukiwa kuwa ni kibaraka mkubwa wa ccm. Yote yalipita na hatimaye kauli ya mwisho ya zitto ikawa kwamba "mimi ntakuwa mtu wa mwisho kutoka chadema..." lakin jana nimeweza kushitushwa pale zitto kabwe alipo uelezea umma kuwa alikaribishwa kwenye mkutano wa (ukawa). Kijana huyu kaweza kukalibishwa na walio mwita msaliti? Hakika chadema wamegundua kitu kwa kijana huyu.... Chadema wamefyata mkia kwa zitto kabwe tusipepese macho kwa kuongea uongo. Huo ndio ukweli na hakika ukweli unauma. Tafakari. Nawasilisha.
 
Acha unafiki wewe. Hakuna mahali popote CHADEMA imejaribu kumsafisha ZITTO.
 
Ni nani aliyetoa tamko la kilichotokea kati ya Zitto na Chadema? Zitto mwenyewe kasema amefurahishwa sana na ushirikiano aliopewa na Chadema na Ukawa. Tunajua mlikuwa mnashangalia sana mgogoro wa Chadema na mlidhani kwenye maslahi ya nchi mtautumia mgawanyiko huo kumbe wapi....usituondoe kwenye hoja. Mnasema Zitto alihongwa na Sethi amewapeleka kwenye kamati ya maadili, mkasema Mbowe naye kapewa hela za escrow mlipoambiwa mthibitishe mkabaki mnajing'ata....turudi kwenye hoja.....Muhongo na wezi wote wawajibishwe, wafukuzwe kazi
 
Hata kama Zitto akipatana na CHADEMA hili la usaliti litaendelea kukumbukwa
Muhtasari wa SWOT analysis unaonyesha kwamba strength na opportunities za tunayemtaka ni nyingi sana zikilinganishwa na weaknesses zake na threats dhidi yake. Aidha ukichambua zaidi utaona kwamba weaknesses za tunayemtaka nirepairable na vikwazo dhidi yake pia ni rahisi kuvikabili na kuvisambaratisha. Tukishamaliza maandalizi ya mkakati huu tukaonana na mhusika mkuu na kumpa ushauri akatulia na kufanya kazi, mkuu aliyepo hatafua dafu. Tunahitaji kutekeleza mkakati huu kwa siri kubwa ili mkuu aliyepo aendelee kubweteka na ndiyo maana hata lugha iliyotumika ni ndani hapa ni ya pekee. Tunahitaji tunayemtaka asionekane kama kuna kitu anafanya na tunafurahi kwamba kuna wakati alitangaza kwamba hana nia ya kugombea tena waliopo wanatosha. Ikitokea vyombo vya habari vikamuuliza tena hiyo ndiyo iwe kauli yake ili kuendelea kumfanya mkuu aliyepo asihangaike na hivyo kuja kummaliza kirahisi. Aidha katika utekelezaji wa mkakati kama tutakavyoeleza hapo baadaye, tunayemtaka atajitenga mbali asionekane hata kuwa karibu na sisi. Vikao vyetu na yeye vitafanyika mara chache sana na mahali pa faragha kupita kiasi ikiwezekana hata nchi jirani.

Mkakati huu hautatakiwa kupatikana kwenye komputa zaidi ya tatu yaani ya mchapaji ambaye ni M3, ya M3 na ya MK mwenyewe. Hata hivyo email zitakazotumika kusafirisha mkakati huu kutoka kwa M3 kwenda kwa M1 hadi kwa MK hazitakuwa zile za kawaida za hao watu bali mpya kabisa zilizofunguliwa kwa makusudi haya tu na kwa majina fictitious. Aidha kila atakayekuwa na mkakati huu kwenye computer yake anatakiwa kuliwekea file hilo password ili hata mtu wa karibu naye anayeweza kufungua computer yake asiweze kulifungua file hilo. Pia email address hazitatolewa kwa sms bali kwa kupiga na kuambiana spelling za address.
 
Kwanza Zitto ni mtu mnafiki sana na wa kuogopwa nchi hii! Jana ameharibu kazi nzima aliyofanya dakika za mwisho pale aliposema kama nakubaliana na kauli ya Chenge ambaye anajua wazi kabisa ni mtuhumiwa. Licha ya yote akawapewa nafasi nyingine akasema kichwa kimechoka saizi sina hoja! Kwa kauli hizo ni wazi kabisa alionyesha taswira yake ya unafiki.
 
Last edited by a moderator:
Ni nani aliyetoa tamko la kilichotokea kati ya Zitto na Chadema? Zitto mwenyewe kasema amefurahishwa sana na ushirikiano aliopewa na Chadema na Ukawa. Tunajua mlikuwa mnashangalia sana mgogoro wa Chadema na mlidhani kwenye maslahi ya nchi mtautumia mgawanyiko huo kumbe wapi....usituondoe kwenye hoja. Mnasema Zitto alihongwa na Sethi amewapeleka kwenye kamati ya maadili, mkasema Mbowe naye kapewa hela za escrow mlipoambiwa mthibitishe mkabaki mnajing'ata....turudi kwenye hoja.....Muhongo na wezi wote wawajibishwe, wafukuzwe kazi

Na amshukuru sana kamanda mbowe kwa kucheza kama leon mesi jana manake zito akili ilikuwa ishachoka jana na kuingia mkenge wa chenge bila kujijua.
 
Najua unataka kututoa kwenye mjadala wa Escrow; Ukweli huu hautafutika kwamba hata kama Zitto atasamehewa, bado atakumbukwa kwa usaliti huu.
Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza kutiliwa shaka na wanachama wa CHADEMA ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea kuibuka maneno ya chini kwa chini kuwa anakisaliti chama.
Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka. Ifahamike kuwa chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24. Baada ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe
 
Ni nani aliyetoa tamko la kilichotokea kati ya Zitto na Chadema? Zitto mwenyewe kasema amefurahishwa sana na ushirikiano aliopewa na Chadema na Ukawa. Tunajua mlikuwa mnashangalia sana mgogoro wa Chadema na mlidhani kwenye maslahi ya nchi mtautumia mgawanyiko huo kumbe wapi....usituondoe kwenye hoja. Mnasema Zitto alihongwa na Sethi amewapeleka kwenye kamati ya maadili, mkasema Mbowe naye kapewa hela za escrow mlipoambiwa mthibitishe mkabaki mnajing'ata....turudi kwenye hoja.....Muhongo na wezi wote wawajibishwe, wafukuzwe kazi

"baada ya mgogoro na chama changu jana nilihudhulia mkutano wa ukawa kwa mara ya kwanza.... I was so happy.....i missed you so much guys..... Zitto kabwe" tafakar
 
Na Chadema wakajibu nini? Huwa mnasoma shule gani nyie punguani wa CCM?
 
habar zenu wana jamvi... Ni mda mrefu sana mwana siasa machachali zitto kabwe zuberi amekuwa na mgogoro na chama chake cha chadema ambacho kilifikia na kumvua nyadhifa zake zote ndani ya chama. Pamoja na hayo mambo mengi alihusishwa nayo kama vile usaliti, na huku akishukiwa kuwa ni kibaraka mkubwa wa ccm. Yote yalipita na hatimaye kauli ya mwisho ya zitto ikawa kwamba "mimi ntakuwa mtu wa mwisho kutoka chadema..." lakin jana nimeweza kushitushwa pale zitto kabwe alipo uelezea umma kuwa alikaribishwa kwenye mkutano wa (ukawa). Kijana huyu kaweza kukalibishwa na walio mwita msaliti? Hakika chadema wamegundua kitu kwa kijana huyu.... Chadema wamefyata mkia kwa zitto kabwe tusipepese macho kwa kuongea uongo. Huo ndio ukweli na hakika ukweli unauma. Tafakari. Nawasilisha.

Yaani kwenye suala la utaifa, unaongea u-chama! Kweli baadhi hamnazo.
 
Back
Top Bottom