CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

CHADEMA na Zitto watafuta suluhu

Hata kama Zitto akipatana na CHADEMA hili la usaliti litaendelea kukumbukwa

hahahaaaaaaaaa zitto ni injini katika siasa!! Makosa yake mtaya ainisha lakinmwisho wa siku....akili na uwezo wake mtaukubali tu.
 
Mkuu unajua maana ya UKAWA? Zito amekaribishwa na ukawa katika kikao cha kuhadili mustakabali wa nchi yetu we umeng'ang'ana chadem chadema hatakama cdm inakukosesha usingizi lakini jaribu kujikazakidogo kwenye mambo ya kitaifa onyesha utaifawako. Kwani hatakama Zito akiitwa na chadema tatizo nini minatakanikuambie Chadema inaweza kumwita mtuyeyote anaeonyesha mwelekeo wa kuchukia dhuluma tunayofanyiwa watanzania ilimradi awe kweli anadhamira ya dhati anawezakushirikishwa au kuungwa mkono katika jambohilo. Acha ushabiki wa hovyohovyo.
 
Ulitaka wafyate kwa Pinda au Muhongo? Ngoja wafyate. Na Zitto naye anaenda kwenye mstari. Nadhani uache uchochezi na acha tumalize hili Zitto arudi tujipange kuchukua dora.
 
aah sasa ndio nini....for issues tat touch nation interest am ready to collabo with my arch enemy only if he/she shows ril desire to fight together in solidarity...cdm has permanent interest n tat is nation first,but not permanent friend.
 
Zito nimfahamu, aliposema sana hoja nimechoka, alishajua amekosea aliamua a
 
Najua unataka kututoa kwenye mjadala wa Escrow; Ukweli huu hautafutika kwamba hata kama Zitto atasamehewa, bado atakumbukwa kwa usaliti huu.

cha kushangaza ni ukawa kukubali na kumkalibisha msaliti. Je unataka kunambia swala hili la kitaifa likiisha zitto kabwe hata weza kukanyaga kwenye vikao vya ukawa? Jaman..... Skendo ya zitto kabwe ilikuwa kubwa mno...mpaka mwenyewe kashangaa kitendo cha kukalibishwa hakuamin kama ingewezekan siku moja kuja kukaa na hawa jamaa. Kama mme mkubali leo mlejesheen bas hadhi yake maana mlimbeza sana huyu jamaa
 
inauma sana kuona ACT inapigwa chenga ya mwili na zzk
 
aah sasa ndio nini....for issues tat touch nation interest am ready to collabo with my arch enemy only if he/she shows ril desire to fight together in solidarity...cdm has permanent interest n tat is nation first,but not permanent friend.

then after that..............be careful you can not guess tanzanian politics...it changes gradually.
 
Zitto Kabwe
Got a standing ovation at UKAWA caucus
this morning. It is very encouraging that
we are able to forget our differences for
larger goal, national interests
1 min · Public
20 · Like · Share · Add Photos · Full
Story · More
 
Zitto Kabwe
Got a standing ovation at UKAWA caucus
this morning. It is very encouraging that
we are able to forget our differences for
larger goal, national interests
1 min · Public
20 · Like · Share · Add Photos · Full
Story · More

zzk kaposti sasa hivi
formula ni ileile either you a with us or against us
 
unauhakika gani labda zito nae kakubali udhaifu na kupromise hatorudia tena? Hamna asie jua umahirir wa zto ila akiznguz lazma awajibishwe...sio kama wale mburura eti katusambazia umeme vjijin kwahyo acha tu abebe zle hela za wizi? Bahat mbaya tu hatujaelezwa chanzo cha fedha za REA....hata ----- kama mm tu ningeifanya vzuri iyo kaz tena bla kukata umeme wakat wananchi wanafatilia hatma ya escrow bungeni
 
Kwanza Zitto ni mtu mnafiki sana na wa kuogopwa nchi hii! Jana ameharibu kazi nzima aliyofanya dakika za mwisho pale aliposema kama nakubaliana na kauli ya Chenge ambaye anajua wazi kabisa ni mtuhumiwa. Licha ya yote akawapewa nafasi nyingine akasema kichwa kimechoka saizi sina hoja! Kwa kauli hizo ni wazi kabisa alionyesha taswira yake ya unafiki.
Mkuu katika lile mie nimemsifu sana Zitto. Ile ilikuwa move moja very scientific baada ya kuona kumbe jamaa wamejipanga kukwamisha kila kitu. Spika alipompa nafasi Chenge apendekeze Zitto akatumia mwanya huo huo kukubali na Spika akashtuka akataka kuliweka sawa na Zitto akamtolea nje kuwa kachoka sana. Sasa limebaki kuwa Watuhumiwa wa Escrow account wamejipangia mpaka adhabu.
 
Huyu jamaa analeta ushabiki ambao hauna maana.. Kama alimsikiza Zitto jana alikiri kwa mara ya kwanza kukubaliwa kuingia kwenye kikao cha ukawa.. Huku akisema ni watu aliokua wamic na anawashukuru sana.. Haya yako yanatoka wap..!
 
inauma sana kuona ACT inapigwa chenga ya mwili na zzk

pia chadema na ukawa wakimchukua zitto kabwe itakuwa hatar kwao.. Maana jamii haita waelewa!! Walimpa tuhuma nzito iweje leo wamrudishe kundini?!! Pia wakimwacha ni hatar pia... Maana watanzania wameona uzalendo wake kupitia kamati ya (p.a.c) hivyo akihamia chama kingine kama act itakuwa hatar. Sijui watafanyaje?
 
Back
Top Bottom