CHADEMA na unafiki uliotukuka

CHADEMA na unafiki uliotukuka

Average range ya viongozi wengi na wanachama / Wapenzi wa CDM ni vijana below 50. Jamaa anakimbilia 65 ni kiasi tu cha kumsubiri hatoboi 70, kwa hiyo tuvumiliane tu tutakuna 2025 moto ni ule ule dadadeq. na hili la ICC itamnyong'onyeza tu atake asitake.
 
Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote...
Wewe umewashwa wapi na hilo jambo?
 
Pangu pakavu tia mchuzi kwenye siasa ni jambo la lazima. Lakini tunapinga tabia ya nguruwe kulia wakati anakula miwa wakati anafurahia hiyo miwa. Kwanini asicheke tu?
Sasa Nguruwe akilia au kucheka wewe unawashwa wapi?
 
Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote.

Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA walikiri wazi kuwa ni uchaguzi ambao haukua huru na Haki hadi kupelekea kususia hotuba ya Rais Bungeni lakini ajabu walikubali kuapa na majina ya viti maalumu yakapelekwa bila hata kuchelewa.

Ajabu na unafiki ni mwaka huu, hoja ileile ya uchaguzi kutokua huru na Haki lakini ajabu ni kwamba kwa sababu viongozi wakuu wamekosa basi safari hii hawataki hata yule aliyepata au nafasi za viti maalumu walivyopata kuzitumia, wanataka wakose wote, wakati uchaguzi uliopita viongozi walipata na wagombea wengine wa CHADEMA walidhurumiwa ushindi wao, hakuna aliyewajali zaidi ya kuacha machozi yao yaende na maji.

CHADEMA waache kuwa wanafiki.

Hii mijamaa inayoendelea kukereka kila uchao na misimamo ya CDM kwa nini haianzishi vyama vyao angalau ikawa hata ma stooge tu ya bwana yule?

Kila leo CDM, CDM mmeambiwa CDM inahitaji inputs au observations zenu wakazi wa sengerema nyie?
 
Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote.

Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA walikiri wazi kuwa ni uchaguzi ambao haukua huru na Haki hadi kupelekea kususia hotuba ya Rais Bungeni lakini ajabu walikubali kuapa na majina ya viti maalumu yakapelekwa bila hata kuchelewa.

Ajabu na unafiki ni mwaka huu, hoja ileile ya uchaguzi kutokua huru na Haki lakini ajabu ni kwamba kwa sababu viongozi wakuu wamekosa basi safari hii hawataki hata yule aliyepata au nafasi za viti maalumu walivyopata kuzitumia, wanataka wakose wote, wakati uchaguzi uliopita viongozi walipata na wagombea wengine wa CHADEMA walidhurumiwa ushindi wao, hakuna aliyewajali zaidi ya kuacha machozi yao yaende na maji.

CHADEMA waache kuwa wanafiki.
Kwa hiyo unataka waendelee kukubaliana na dhuluma kila uchaguzi? Nenda wewe ambaye siyo mnafiki
 
Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote.

Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA walikiri wazi kuwa ni uchaguzi ambao haukua huru na Haki hadi kupelekea kususia hotuba ya Rais Bungeni lakini ajabu walikubali kuapa na majina ya viti maalumu yakapelekwa bila hata kuchelewa.

Ajabu na unafiki ni mwaka huu, hoja ileile ya uchaguzi kutokua huru na Haki lakini ajabu ni kwamba kwa sababu viongozi wakuu wamekosa basi safari hii hawataki hata yule aliyepata au nafasi za viti maalumu walivyopata kuzitumia, wanataka wakose wote, wakati uchaguzi uliopita viongozi walipata na wagombea wengine wa CHADEMA walidhurumiwa ushindi wao, hakuna aliyewajali zaidi ya kuacha machozi yao yaende na maji.

CHADEMA waache kuwa wanafiki.
Kwa kijana wa leo,ningumu Sana kuyafahamu ya Jana,hali ya wakati huo nitofauti Sana na yaliyo jitokeza wakati wa leo,hivyo jaribu kujifunza kwa dhati saudi utayaelewa vyema,ya leo na ya Jana.
 
Hivyo na yule aliyesema Maendeleo hayana vyama, halafu baadae akasema nichagulie “fulani” kuwa mbunge ili niwaletee maendeleo nae ni mnafiki?

Kama ni unafiki huyo ni father lao!
 
Hakuna cha unafiki hapo ni mihemko yako tu! Ila Ukweli ni kwamba wamechoka kuhalalisha ubatili!
Mwaka 2015 , pamoja na kutoyatambua matokeo lakini waliingia bungeni si kwamba walikuwa wanakubaliana na kilichotokea katika uchaguzi ule bali walitaka kupata uwanja wa kuyafikisha malalamiko yao kupitia bunge.
Hata hivyo hawakufanikiwa kutokana na bunge lile kutawaliwa na itikadi za kisiasa tangu kwa spika hadi wabunge wa CCM, hivyo plana yao ndani ya bunge ilikwama, hivyo kwa sasa wameamua kubadili namna ya kjushugulika na tatizo kwa njia nyingine!
Kwa hiyo tusikalili njia ya mwaka 2015 ndo hiyoiyo iwe mbinu ya mwaka huu, ni lazima kubadili mbinu kulingana na mahitaji ya wakati!
 
Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote.

Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA walikiri wazi kuwa ni uchaguzi ambao haukua huru na Haki hadi kupelekea kususia hotuba ya Rais Bungeni lakini ajabu walikubali kuapa na majina ya viti maalumu yakapelekwa bila hata kuchelewa.

Ajabu na unafiki ni mwaka huu, hoja ileile ya uchaguzi kutokua huru na Haki lakini ajabu ni kwamba kwa sababu viongozi wakuu wamekosa basi safari hii hawataki hata yule aliyepata au nafasi za viti maalumu walivyopata kuzitumia, wanataka wakose wote, wakati uchaguzi uliopita viongozi walipata na wagombea wengine wa CHADEMA walidhurumiwa ushindi wao, hakuna aliyewajali zaidi ya kuacha machozi yao yaende na maji.

CHADEMA waache kuwa wanafiki.
Kama ni unafiki si ungeona kwanza uliyomo kwenye chama chenu, kujifanya wanakubali mfumo Wa vyama vingi kumbe roho hawautaki. Heading yako inatia kimyaa
 
Chadema kilikuwa chama cha siasa hadi 2010, baada ya hapo liligeuka kundi la wajanja wajanja na wachumia tumbo
 
Kwa hiyo Kama mwizi alikamatwa mwaka juzi akapigwa mawe, miaka yote wakamataji watumie njia ile ile?!

Mwaka huu adhabu kwa mwizi yule yule ni tofauti. Tulia tulii
Inakua NONESENSE, hivi kina Mbowe wangepata ubunge haya yangetokea??
 
Hivyo na yule aliyesema Maendeleo hayana vyama, halafu baadae akasema nichagulie “fulani” kuwa mbunge ili niwaletee maendeleo nae ni mnafiki?
Kazi yake ni kupigia debe wabunge wake mana hata wabunge wake wanampigia debe.... Mbona Nkasi hawakumsikiliza wakamchagua Chadema, Lindi wakamchagua CUF..... We umewahi kuona kisa upinzani jimbo likakosa maendeleo??
 
Mwaka huu adhabu kwa mwizi yule yule ni tofauti. Tulia tulii
Hivi Central Commitee ya CHADEMA ilishakaa na kutoka na written msimamo kuhusu issue ya Aida na Wabunge wa Viti maalumu kwa ujumla wake?

Kimya kingi kina mshindo mkuu na ni bora keyboard worriers wakawa na akiba ya maneno
 
Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote.

Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA walikiri wazi kuwa ni uchaguzi ambao haukua huru na Haki hadi kupelekea kususia hotuba ya Rais Bungeni lakini ajabu walikubali kuapa na majina ya viti maalumu yakapelekwa bila hata kuchelewa.

Ajabu na unafiki ni mwaka huu, hoja ileile ya uchaguzi kutokua huru na Haki lakini ajabu ni kwamba kwa sababu viongozi wakuu wamekosa basi safari hii hawataki hata yule aliyepata au nafasi za viti maalumu walivyopata kuzitumia, wanataka wakose wote, wakati uchaguzi uliopita viongozi walipata na wagombea wengine wa CHADEMA walidhurumiwa ushindi wao, hakuna aliyewajali zaidi ya kuacha machozi yao yaende na maji.

CHADEMA waache kuwa wanafiki.
Wewe ndo mnfiki ,nguruwe
 
Hakuna cha unafiki hapo ni mihemko yako tu! Ila Ukweli ni kwamba wamechoka kuhalalisha ubatili!
Mwaka 2015 , pamoja na kutoyatambua matokeo lakini waliingia bungeni si kwamba walikuwa wanakubaliana na kilichotokea katika uchaguzi ule bali walitaka kupata uwanja wa kuyafikisha malalamiko yao kupitia bunge.
Hata hivyo hawakufanikiwa kutokana na bunge lile kutawaliwa na itikadi za kisiasa tangu kwa spika hadi wabunge wa CCM, hivyo plana yao ndani ya bunge ilikwama, hivyo kwa sasa wameamua kubadili namna ya kjushugulika na tatizo kwa njia nyingine!
Kwa hiyo tusikalili njia ya mwaka 2015 ndo hiyoiyo iwe mbinu ya mwaka huu, ni lazima kubadili mbinu kulingana na mahitaji ya wakati!
Hoja mufilisi kabisa, kwa kususa kunasaidia nini? Chaguzi karibia zote za marudio walikua wanasusa kutokana na mazingira mabaya ya hizo chaguzi, kipi kiliwafanya washiriki huu uchaguzi kama sio unafiki...
 
Back
Top Bottom