selemala
JF-Expert Member
- Feb 14, 2007
- 384
- 263
Kazi yake ni kupigia debe wabunge wake mana hata wabunge wake wanampigia debe.... Mbona Nkasi hawakumsikiliza wakamchagua Chadema, Lindi wakamchagua CUF..... We umewahi kuona kisa upinzani jimbo likakosa maendeleo??
Kwa mantiki yako, kama jiwe sio mnafiki kutokana na kauli alizozitoa basi CHADEMA pia sio wanafiki katika maamuzi waliyoyafanya.
Hilo swali hapo mwisho muulize jiwe ambaye ndie muasisi wa hiyo logic.
