CHADEMA na UKAWA wataanguka vibaya sana 2020 tofauti na awamu zilizopita

KUNA UCHUNGUZI NIMEUFANYA YA KWAMBA KUELEKEA 2020 NI SIKU YA ANGUKO LA CHADEMA
NA HIZI NDIO DALILI ZA ANGUKO LA CHADEMA.

1.TUNDU LISU KUGOMBEA URAISI TLS HAPA NINA MAANA 2020 ALISHAGUNDUA HAWEZI TENA KURUDI BUNGENI HIVO AMESHAJIANDAA HATA AKIUKOSA UBUNGE BASI ATABAKI KUWA RAISI WA TLS.

2.UCHAGUZI WA UDIWANI NDANI YA KATA 21 AMBAPO CCM ILICHUKUA KATA 20 CHADEMA 1

3.THE RISE OF ACT WAZALENDO AS OPPOSITION POLITICAL PARTY HAPA NINA MAANA 2020 HIKI NDO CHAMA KITAKACHOLETA UPINZANI.

4.UKIMYA WA JOHN MNYIKA NA TETESI ZA KUHAMIA ACT WAZALENDO.

5.UWEPO WA LOWASSA, SUMAYE KINGUNGE HADI 2020 UNAIFANYA CHADEMA KUWA NA MUONEKANO WA CCM B KWA SABABU WOTE WALIKUWA NDANI YA SYSTEM YA CCM.

6.CHADEMA KUKOSA AGENDA YA UFISADI AMBAYO ILIWAFANYA KIPINDI CHA NYUMA CHINI YA DK.SLAA ILIOIFANYA CHADEMA KUPOTEZA UMARUFU

7.KUKOSEKANA KWA DK.SLAA KAMA KATIBU MKUU AMBAYE NDIYE ALIYEIJENGA CHADEMA KUPITIA HOJA ZAKE KAMA EPA, RICHMOND, ETC .

MWISHO NINGEPENDA KUSEMA CHADEMA 2007 AGENDA ILIYOIFANYA IWE RAISED UP NI AGENDA YA UFISADI NA RICHMOND PALE MWEMBEYANGA SASA HIVI TANGU AONDOKE SLAA ILE CREDIBILITY YA CHAMA IMEZIDI KUSHUKA SANA .

HILI NI SOMO KWA WANACHADEMA AMBAO BADO WANA AMINI LEO IKIFIKA 2020 CHADEMA ITASHINDA WAKATI NDIO IMEZIDI KUPOTEZA MWELEKEO
Hoja zako haziko mashiko,unajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Nawashauri hawa ndugu zangu wa CHADEMA na wapinzani wote wajipange vizuri maana jinsi siku zinavyoenda naona dalili kabisa kwamba CCM watachukua nchi kiulaini sana.

Kwa ufupi ni kama kwasasa Tanzania hakuna chama chochote cha upinzani chenye uwezo wa kuing'oa CCM 2020, upinzani umekosa hoja za maana kutwa kucha kujadili hoja za kipuuzi tu mara makonda mara bashite.

Wamesahau kabisa kuna watanzania wana shida ya maji, wanafunzi hawana madawati, madawa hospitallini hakuna na mambo mengine kibao.
 
Nawashauri hawa ndugu zangu wa Chadema na wapinzani wote wajipange vizuri maana jinsi siku zinavyoenda naona dalili kabisa kwamba CCM watachukua nchi kiulaini sana
Kwa ufupi ni kama kwasasa Tanzania hakuna chama chochote cha upinzani chenye uwezo wa kuing'oa CCM 2020,upinzani umekosa hoja za maana kutwa kucha kujadili hoja za kipuuzi tu mara makonda mara bashite,wamesahau kabisa kuna watanzania wana shida ya maji,wanafunzi hawana madawati,madawa hospitallini hakuna na mambo mengine kibao.

Na huo ndo ukweli mtupu.
 
Dah:confused::confused::confused:!..

Hii dunia ya ajabu sana yaani watu wameshachagua serikali ya kuwapatia maji,madawa hospitalini,wanafunzi hawana madawati lakini bado wanataka wapinzani waongelee tena mambo hayo.

Sasa wataongelea wapi wakati nasikia mikutano ya hadhara imezuiwa,mikutano ya ndani ya vyama imezuiwa bora tuendelee kuzungumzia hivi vioja vinavyendelea midomo isichache.

Kalahgabhao.
 
Nawashauri hawa ndugu zangu wa Chadema na wapinzani wote wajipange vizuri maana jinsi siku zinavyoenda naona dalili kabisa kwamba CCM watachukua nchi kiulaini sana
Kwa ufupi ni kama kwasasa Tanzania hakuna chama chochote cha upinzani chenye uwezo wa kuing'oa CCM 2020,upinzani umekosa hoja za maana kutwa kucha kujadili hoja za kipuuzi tu mara makonda mara bashite,wamesahau kabisa kuna watanzania wana shida ya maji,wanafunzi hawana madawati,madawa hospitallini hakuna na mambo mengine kibao.
Wamekuwa kama fisi anayemfuata binadamu kwa nyuma akidhani mkono utadondoka aule..matokeo yake wanaangukia kwa kina wema sepetu mfuga mashoga..kweli hakuna marefu yasiyo na ncha..the last days of chama cha demokrasia na maendeleo
 
Suala la maji, madawati, matibabu ni la CCM maana vipo madarakani, vipi uzungumzie vyama pinzani kuwa vinawaza upuuzi? Je unafikiri vitoe maji na madawa pamoja na madawati ndo vichukue nchi au kipi ccm mpka sasa kimefanya cha msingi?
 
Wajipange ya nini wakati una uhakika kuwa mtashinda?
Namaanisha.wajipange wapate hoja nzuri ambazo zitauzika wmkwa wananchi 2020 huwenda wananchi wakawachagua lakini wakitegemea kwenda kama walivyo sasa hivi ikilu wataendelea kuiona TBC.
 
Wamekuwa kama fisi anayemfuata binadamu kwa nyuma akidhani mkono utadondoka aule..matokeo yake wanaangukia kwa kina wema sepetu mfuga mashoga..kweli hakuna marefu yasiyo na ncha..the last days of chama cha demokrasia na maendeleo
Najwambia hawa watu ikilu wataisikia kwenye magazeti na Tv tu.
 
Kama vyama vya upinzani vitaingia kwenye uchaguzi mwaka 2020 kwa mazingira yale yale ya 2015 basi wasitegemee lolote.

Muda huu wakazanie ipatikane tume huru ya uchaguzi, pia mbali na aganda za kukosoa viongozi wabovu wa CCM (na ni kweli wabovu haswaa) wakati ndiyo huu wapinzani muwe na agenda nzito kama vile namna bora kupunguza umasikini, kilimo, ajira kwa vijana, maji nk.

Muda huu ni muda wa kujipambanua. Onyesheni kweli mnataka kuleta mageuzi. CCM wamechoka, hawala lolote kuleta maendeleo nchi hii. Wameshindwa hilo kwa miaka 50 iliyopita. Muda wenu huu wapinzani jionyesheni mko tofauti kwa vitendo
 
Suala la maji, madawati, matibabu ni la CCM maana vipo madarakani, vipi uzungumzie vyama pinzani kuwa vinawaza upuuzi? Je unafikiri vitoe maji na madawa pamoja na madawati ndo vichukue nchi au kipi ccm mpka sasa kimefanya cha msingi?
Sasa kama ndiyo hivyo nini maana ya kuwa na upinzani?
Au upinzania mnaojua nyie ni kushabikia stori za mange kimambi.?
 
Back
Top Bottom